Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndiyo maana nikakuambia kuwa asilimia kubwa waliokuwa wanakuja kusoma kenya ni failures ...huku walivurunda hivyo wanatafuta njia ya ziada sehemu yenye unafuu....
 
Hiyo "smartness" ya hao viongozi imeiweka wapi TZ? sijaskia watz wengi waki shinda academic award anywhere!!, achievements???, inovations??., and by the way uongozi sio tu masomo, ni hekima flani pia, even though education ni muhimu karne hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chukua list ya marais wako wote tokea mpate uhuru kisha compare na maraisi wa Tz tokea ipate uhuru kwa education wapi waliopiga kitabu...

ukishapata jibu unaweza ukabaki nalo kuumia moyoni au ukaja nalo hapa...

your welcome[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Urahisi gani wakati Kenya's education system was announced as the strongest in Africa by World Economic Forums? [emoji23] [emoji23]



World Bank pia walitoa ripoti in 2018 ranking Kenya top in Africa in education outcomes
cheap education...easy [emoji1787][emoji1787]
 
Hupigi mtu kamba hapa, mna Govt school 105 tu na wote tunajua humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji375]
Ukitaka kumliza mtanzania mpe facts[emoji23][emoji23][emoji23]
Mumezoea kupiga soga sana mpka mkipewa facts mnakimbiana
 
bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
Mtanzania aliyesomea kenya ni bonge la mtu sana akirudi bongo...
Hta walimu pia mnaandika waliosomea kenya[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…