Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo hapo AVA wanakwambia hawahusiani na Scania, yn ww ni mjinga sana, hii si umeweka ww hii, inakuwaje tena ulazimishe kwmb Scania wapo pia na Kenya (plant ya Scania kwa East and central Africa itakuwa Tz tu na si vinginevyo)[emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji3][emoji90][emoji90]
 
wakati mwanzo alisema ni nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

inaonyesha kabisa ni jinsi gani hata alichouliza kipo cooked
 
Kaka nme prove umewapigia kweli plant iko SA pekee Africa na wala sio sehem nyingine.
Wasubiri plant ya ku assemble Scania trucks and buses hapa Tz, mana wakianza kuleta hizo bus za CNG tu piga ua watapa profit kubwa na ndipo watakapoamisha makazi rasmi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yes hatuna plants that are owned by Scania, but their trucks are assembled in Kenya.[emoji23][emoji23]
Na bus zetu za brt c mnatengeneza nyie au [emoji90][emoji90][emoji3][emoji3] yn Tz iwe ina import gari kutoka Kenya zen hapo hapo bus zetu zilizochoka tunawauzia Kenya hv unajisikia huu ushuzi unaoongea humu [emoji117][emoji117][emoji3][emoji3][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Wapi penye AVA wamesema hawausiani na Scania?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tuonyeshe[emoji23][emoji23][emoji23].
 
So unapinga kama kuna magari ya Scania that are assembled in Kenya?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1667569
Hakuna na haitokuja kutokea, yn nyie mu assemble gari za Scania zen plant yenyewe ndo hii, hebu angalia tofauti baina yenu na sisi zen utuambie nchi hipi inakaribia kufanya assembling ya Scania[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Watu wa Scania wenyewe wamesema kuwa trucks za Tanzania are assembled in Kenya, who are you to dispute?[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Sasa unaweka picha ya South Africa udanganye nayo watu ati ya kwenu, mbona mnapenda uongo hivi?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
If you have third party then why are importing complete trucks?[emoji23][emoji23][emoji23] Why can't you assemble your own the way Kenya and South Africa is doing[emoji23][emoji23]
Wapi imeandikwa mna assemble truck za Scania? Km ipo kwnn usipost humu unaogopa nini? Mbn cc tuna post yetu [emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Mtu anapost picha za South Africa ati ni Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…