Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 ulikuwa unataka picha zingine?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ama hii ni picha ya South Africa?[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1666746
So hapo wameandika plant ya scania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇 kwenye official blog yao hakuna plant

 
Sasa wewe unaniekea picha ya truck that has been imported wakati mimi nakuekea assembly plant[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1666743View attachment 1666744
Jamani mumeona assembly plant ya scania in kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acheni yesu ashuke tu aiseeee kilaza wa aina yake kwenye hii forum
 
Hii habari nimeitoa hapa na hakuna neno plant scania in kenya na hutapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1666699
Katika habari huaga kunapachikwa picha yyte jomba acha kulia lia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo unakataa km hapo sio kenya
 
Haya tafuta nyingine tena udanganye sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1666712
Achana na picha za internet wewe..picha moja inaweza tumika katika habari zaidi ya moja tofauti jomba...
Acha kuwa mjinga
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇

 
Achana na picha za internet wewe..picha moja inaweza tumika katika habari zaidi ya moja tofauti jomba...
Acha kuwa mjinga
Uhehehhee kwani mwenzako anatoa picha za wapi za mbinguni au 🤣🤣🤣🤣🤣 mm narudia kusema akitokea mkenya akaleta assembly plant ya scania in kenya mm nafunga acc jamii forum mark my words
 
Katika habari huaga kunapachikwa picha yyte jomba acha kulia lia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo unakataa km hapo sio kenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msaidie mwenzako kutafuta assembly plant ya scania in kenya ukipata nitag mm 😅😅😅

chukua na zawadi ufurahi
 
Uhahahahahahahahhaahhahahahahahahahahahahahhahahaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nasubiria mkenya yoyote aniletee plant assembly ya scania nje ya south africa mm nifunge acc 🤣🤣🤣🤣🤣

 
Wakubalie awa mafala anavyotaka! Maana ujinga ni mali yao!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm nimempa kazi rahisi tu akipata plant ya scania kenya mm nafunga acc jamii forum forever 🤣🤣🤣 sisi wenyewe ni wanunuzo wa scania sijui atanidanganya nn huyu
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…