Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaaani kiufupi Nairobi kwa dar ni cha mtoto Dar kubwa! Iko well planned,well designed na iko na nafasi kubwa ya growth ndugu zetu wanagenga bila planned mfano mtaa wa huruma Nairobi huu hapa[emoji846]
hayo majengo hayachukui miaka mingi....

utasikia yashaanguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikisema wewe ni mshamba sijakosea, mwanaume yupi anajipiga selfy in the bathroom?[emoji23][emoji23][emoji23]
kweli haujakosea mimi ni mshamba kweli kweli.....na zipo kibao nimepiga hadi wash room[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]poor people unashida sana
 
Unaweka picha bila maelezo, nn kinakufanya uamini kwamba hapo ni Kunyaland, weka jina pumbu wewe [emoji3][emoji117][emoji204]
You are late, mwenye alitisha picha kashakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tayari umeanza kufail. Sasa tulia na hiyo professional. Uwe mbobezi
The best word is profession not professional[emoji23][emoji23]. Wewe hakuna kitu unajua.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…