Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua difference ya club na derby...ukijua urudi hapa
 
Sasa unakuja unajinyea nyea na population growth inaleta mantic ipi sasa?
Yaani kuongezeka kwa watu ndio unajisifia!!? Watu wanafanya uzazi wa mpango wewe unakuja na kuongezeka kwa watu. Hebu toa hapa taarifa za kitoto.


hahaha. ...hujaona real estate and ICT penetration........Kweli shule ni muhimu. ..poor danganyikan
 
Hio kukimbia kama punda angalia how much a boston marathon athlete would get paid if he won, let me jus spare the time and tell u usd.500,000 huyo mwenye anaongea mbaya ata ameshawaii make that cash since he was born? Respect people's hustles
hongera kwa kukimbia kama punda.[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hahaha. ...hujaona real estate and ICT penetration........Kweli shule ni muhimu. ..poor danganyikan
Twende kazi wewe dogo. Kwenye ICT wala usiseme nimekuewekea Infor za kumwaga. Ngoja nikupatie Trasport in Dar by Boats







Dar huiwezi wewe umebaki kuhororoja tu.
 
Gor Mahia 1987......Confederation cup winners
Lanes. .....Lanes.....
 
Daresalaam inafanana na kibera kwa kweli....hiyo ndio level yenu. Perfect match.....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

kwahiyo kibera sio Nairobi na wala sio part ya Nairobi, si ndio eeh???

eti Dar inafanana na kibera... Kibera nan na Nairobi ni nan!!!?
 
Gor Mahia 1987......Confederation cup winners
Yaani unaongelea 1987. Yanga founded 11 February 1935
Simba founded 1936

Nakutaka ufuatilie histori ya hizo timu siyo kuja kujamba jamba humu na kutoa miayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…