COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Dar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado mseeWewe jamaa ni bonge la mshamba. Hujui kujadiliana. Kama huna cha kuongea kaa kimya.
Nadhani somo la Dar umelielewa sasa. Umekuwa mpole kweli kama umemwagiwa maji mazito.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe jamaa ni bonge la mshamba. Hujui kujadiliana. Kama huna cha kuongea kaa kimya.
Nadhani somo la Dar umelielewa sasa. Umekuwa mpole kweli kama umemwagiwa maji mazito.
sijawahi Ku-engage na wakenya on personal basis.wakenya wengi ni rafiki zangu.then if that is how you argue(based on individual kenyan's views) it shows that you get personal which is very immature.
plus its a lie coz most fights are started by you,have been following up man.
sijawahi Ku-engage na wakenya on personal basis.wakenya wengi ni rafiki zangu.then if that is how you argue(based on individual kenyan's views) it shows that you get personal which is very immature.
plus its a lie coz most fights are started by you,have been following up man.
Nimesema wewe ni mshamba mno unasifia wanaume. Hivi umeisoma thread hii maelezo yake kweli!!? Maana jamaa unatoa povu zito mno. Kila wakati uko off topic hivi wewe ni mvuta bangi!?Dar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado msee
uhuru stadium capacity: 23000Okay. Tuanze viwanya vya Soccer vilivyopo Nairobi vs vilivyo Dar. Usilete maneno maneno hapa. Sawa?
1. Uhuru Stadium (Dar es salaam Tanzania)
ndio maana napangua hoja zenu kila siku kuhusu tz.that's also patriotic to say the least.Msee you should be patriotic anyway your country is your first love...but when it comes to facts utaheshimu Kenya
kama hujawahi kufahamu kuwa ni vibaya kuongea vibaya kuhusu wakenya wanaokufa njaa kwa sababu ya ukame basi jua hivo leo. hilo ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zilizo na arid lands ambazo kuna misimu ya kiangazi,you are lucky kiangazi hamna.sijawahi Ku-engage na wakenya on personal basis.wakenya wengi ni rafiki zangu.
Uko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?1.Tanzania has double land size to kenya
2.Tanzania has more pop than Kenya
3.Tanzania has more minerals than Kenya
4.Arable land in Tz is 100% to kenyas30% So why this
1.Kenya exports more Tea,horticulture, coffee etc than tz
2.Kenya's GDP 75b to Tz 50b
3.Kenya middle class income Tz/4.Kenya is generally ahead of tz on almost everything
Kwani mlirogwa nini? If Kenyans were blessed like u guys tungekua league ya Singapore sai
ujue COLLO laiti mzazi wako angekuwa freemason lazima angekutoa kafara sababu hauna faida yeyote ya kuwepo hapo nairobi..........unasifiaga utumbo tu na unatetea vitu matope ......wakenya wenzako waliofika dar wanaipa salute......cha ajabu wewe usiyefika na kamwe hautoweza fika kutokana na umaskini unabishabisha tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Wewe na ujinga ni chanda na Pete...you're too stupid to say the least
Mkiwa wastaarabu nasi tunakuwa wastaarabu. Hatuwezi kuchagua sehemu ya kuwapiga ilimradi nyie mlianzisha kututukana wakati sisi tupo kimya tu. Sasa tumeamuakulipa mnalia lia kama watoto.kama hujawahi kufahamu kuwa ni vibaya kuongea vibaya kuhusu wakenya wanaokufa njaa kwa sababu ya ukame basi jua hivo leo. hilo ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zilizo na arid lands ambazo kuna misimu ya kiangazi,you are lucky kiangazi hamna.
asa wewe ni millionaire.......?...acha shadadia upuuzi........hao millionaire wenu wengi ni foreigner hampo real ila asili yenu ni askini ukapukuDar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado msee
[emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesema wewe ni mshamba mno unasifia wanaume. Hivi umeisoma thread hii maelezo yake kweli!!? Maana jamaa unatoa povu zito mno. Kila wakati uko off topic hivi wewe ni mvuta bangi!?
ICT ata 2050 hamwezi fikia Kenya.Uko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?
1. ICT tunawapiga ile mbaya
2. Telecom tunawapiga ile mbaya.
3. Starehe tunawapiga ile mbaya
4. Music Industry tunawapiga sana
5. Movie Industry tunawanyoa kwa chupa
6. Utalii tunawagonga
7. Security issues tunawapeleka jando
8. Food Security and Availability hamutuwezi
9. Kwa kukimbia ovyo ovyo mnatuzidi. Mnakimbia zaidi ya punda
10. Public Transport tunawazidi ile mbaya.
Sasa wewe unabakiwa na nini? Zaidi ya kutoa povu kama huna akili nzuri.
Wewe na ujinga yako utaezana na mimi kweli?...wenzako werevu walishindwa wakakuchocha ety wewe dawa ya Collo...bro soma kwanza ndio tupinganeujue COLLO laiti mzazi wako angekuwa freemason lazima angekutoa kafara sababu hauna faida yeyote ya kuwepo hapo nairobi..........unasifiaga utumbo tu na unatetea vitu matope ......wakenya wenzako waliofika dar wanaipa salute......cha ajabu wewe usiyefika na kamwe hautoweza fika kutokana na umaskini unabishabisha tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Mimi karibu nakua millionaire but one thing for sure am richer than uasa wewe ni millionaire.......?...acha shadadia upuuzi........hao millionaire wenu wengi ni foreigner hampo real ila asili yenu ni askini ukapuku
Samuel yani kichapo cha twitter kilikukeep away for more than a month...izah budaahMkiwa wastaarabu nasi tunakuwa wastaarabu. Hatuwezi kuchagua sehemu ya kuwapiga ilimradi nyie mlianzisha kututukana wakati sisi tupo kimya tu. Sasa tumeamuakulipa mnalia lia kama watoto.
Huwezi kutupangia cha kuwagonga mpaka akili zikae sawa muwe na heshima ya waafrica wenzenu.
ha haa kumbe wewe wataka ligi.........aiseee welcome to ze hell karibu MZEE WA IPHONE7 Maana umeongea upuuzi ambao sikuwahi kuufikiria....[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Wewe na ujinga yako utaezana na mimi kweli?...wenzako werevu walishindwa wakakuchocha ety wewe dawa ya Collo...bro soma kwanza ndio tupingane
Twende kwenye ICT dogo tuone wewe uko wapi.ICT ata 2050 hamwezi fikia Kenya.
Starehe mko down...international artists wako hapa every weekend.
Overally GDP yetu ni kubwa by more than 25b USD periog