Nimesikiza mpka nacheka walai[emoji23][emoji23]wanaitwa pro 24 djz...
ukikukata na hiki kikosi kenya nzima inapata stroke[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
ni wakali wa kuchafua kisha wanasepa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1656427
Usiteseke bure, jipumvishe.
tena bwanga ......yenye kiraka makalioniElimu yao bro haikuwafundisha kua wakweli imewafundisha kua wezi na kusifia vitu hawana na hawatokua navyo[emoji1787][emoji1787] mkenya yuko radhi afe njaa ila avae suti
We unataka ulinganishe mziki wa kenya na wenu club, tena umzima..Kweya muziki wako local sana.
Kuanzia kuimba, kucheza,hata clubs staili zao bado sanaa.....
bongo tunawabeba sanaaaa..
Na vile walivo washamba wakisikia msanii wa Naijeria au Tanzania anapiga show kenya nchi nzima inasimama. Afu hapa anaulizia mixtape.
Kw movie pia tanzania hakuna quality movies[emoji23][emoji23]Kuna kipindi chao nilikuaga naangalia zamani maishamagic east kinaitwa
#Turn up
yani mimi sihusiki lakini mpaka naona aibu madogo wanajiona wanaswagger eti. Ila ni vituko. Ningekua mkenya sijui ingekuaje. Very local afu wanacheza ovyoo.
hao ni kiboko......Nimesikiza mpka nacheka walai[emoji23][emoji23]
Km hzo ndio mixtapes waambieni km watasubiri sana basi
Hii itachukua tuzo ya highway iliyojengwa kiboya zaidi kutokea maishani
Msanii wenu gani analipwa vizuri?? Hata Uganda wamewazidi kwa muziki!!We unataka ulinganishe mziki wa kenya na wenu club, tena umzima..
Unataka kulinganisha club bangers na bongo fleva[emoji23][emoji23][emoji23]
Kudance pia hamtuwezi, mnatubeba kw lipi wakati wetu wa ndani wanalipwa vizuri kuliko nyie mnavyowalipa wasaani wenu wa ndani[emoji23][emoji23]
Bado sijasahau mixtapes za bongo[emoji23][emoji23]
TAratibu tu mtanyooka subiri iishe!!Hii itachukua tuzo ya highway iliyojengwa kiboya zaidi kutokea maishani
Me sio mtu wa movie sana za ki africa so sijui kuhusu maswala ya movie.Kw movie pia tanzania hakuna quality movies[emoji23][emoji23]
Huaga mnatushinda tu kw akili zenu ila kimataifa bado sana..
Yani nyie kw sasa jivunieni lile kundi lenu la wasafi tu ila kwngine kote hamtuwezi..
Mnafikiria superhighway ni kulima barabara na kutandaza lami tu
Naona umeanza kujifurahisha sasa, hapo mzee nakwambia hamna kitu.hao ni kiboko......
na hizo zinaitwa music beats square 01.....huwa zinasiku zake ukitaka kupata mikwaju ya maana kuliko pia utapata.....
ushazoea kukariri nyimbo najua hapo umetoka zero hakuna ngoma hata moja unayoijua.....hapo unakula beats visual tu
southern crash hizo mazee
Narudia tena, east africa hakuna nchi inayolipa wasaanii wake wa ndani mpunga mzuri km kenya..Msanii wenu gani analipwa vizuri?? Hata Uganda wamewazidi kwa muziki!!
Wasanii wenu wanalia njaa kila siku we unasema wanalipwa vizuri.
Ongea polepole maana wakikusikia shauri yako!!
They always wish to enter in Tanzania market to earn enough money ww unasema wanalipwa vizuri.
yaani. hao wamechukua tuzo US zaidi ya mara 8,,hapo hakuna cha banjuka wala nini...Naona umeanza kujifurahisha sasa, hapo mzee nakwambia hamna kitu.
Labda kuwasaidia tu wapambane labda wataja kuwa vizuri siku moja, ila km hao ndio ma dj wenu basi imekula kwenu..
Ndio manake huwezi kuta mixtapes za ma djs kutoka bongo youtube live kumbe ni utopolo mtupu..
Na ile siku hao wataenda live youtube watakua wanajisumbua bure, wataharibu bando tu
Nakwambia hao ma djs munawajua nyinyi pekeyenuyaani. hao wamechukua tuzo US zaidi ya mara 8,,hapo hakuna cha banjuka wala nini...
ila fanya kuchungulia instagram huyo demu mwenzako aluyekuzidi maarifa na kubeba tuzo..
list ipo ndefu sana ya ma djz
hadi wewe unawajua......Nakwambia hao ma djs munawajua nyinyi pekeyenu
Mnawajua nyie tu[emoji23][emoji23][emoji23]hadi wewe unawajua......