So leo thika sio 8 lanes au bado una ile akili ya kujumlisha njia za kutoa na kuingiza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Au imetoka kwenye 8 lanes baada ya kuskia tunakamilisha 8 lanes 😅😅😅Tuletee hizo 8,unajifanya Wajua Kenya sana
Karibu ila yale mawazo ya tanzania ya 90s ukija nayo umeumbuka 🤣🤣🤣🤣Wacha simu ipate moto, nazama nikiibuka mtapenda.
Nilipita pia [emoji4][emoji4][emoji4]Hiii nchi inajengwa nimepita juzi dodoma aisee acheni kabisa dodoma inafumuliwa kila kona [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Unasema Thika hii ama??unakta mchana
Naona sehemu mumechora only BRT miaka mitatu iliopita🤣🤣🤣🤣Superhighway
View attachment 1656360
Hesabu hzo lanes katikati zikizidi 8 mm natoka jamii forum🤣🤣👇👇👇Unasema Thika hii ama??unakta mchana View attachment 1656380🤣🤣
Ilikuwa jinga kma ww ukawa unafany kz office ya rais .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] aaaahhh kumbe huyu ndio prezident mwenyew
hatar