Kwan unafkiri njaa mumepata vp si baada ya magufuli kuzuia chakula kutoka nje ya tanzania au hujui pia hilo😀😀😀😀Tuna import from mexico na tunawalipa Mara dat dat...Tanzania hakuna kitu mnatusaidia
ha haaa ujue jamaa anamatatizo sana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]karibu tena kijana....sikujua kuwa wewe ndio mtu unaye mnyosha yule colo anayejiita collomzii.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
dah MZEE WA IPHONE 7 Leo umemkumbuka mungu ......aiseee ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hakuna vita Kenya Tena...we learned from what happened in 2007/08 and such will never happen in Kenyan soil again...Amen
Mnapenda kuropkwa eti Tanzania inalisha kenya...leteni data ya TRA hapa tuone vile mnalisha wakenya😀😀😀😀 haya msikieni huyu mzee wa iphone7
leta data hapa na ulete uthibitisho wa document kama sport pesa ni yenu....usiongeee sanaMimi na masufferer hatubongangi tafuta masufferer wenzako
Sport pesa niya wapi then???...kama niya wazungu "pesa" ni English????...leta data hapa na ulete uthibitisho wa document kama sport pesa ni yenu....usiongeee sana
nyie wakenya pamoja na uongozi wenu ni matahila mna roho mbaya yaani mnajifanya kuagiza msosi nnje wakati jirani zenu wanavyo kwanini msinunue kwa jirani zenu...? hiyo ni roho chafuTuna import from mexico na tunawalipa Mara dat dat...Tanzania hakuna kitu mnatusaidia
nimekwambia ivi niletee data kwa document shida kwani ni ipi.....mimi nataka kujifunza na kujua kuputia wewe.......maana wewe ndiye unayejuaSport pesa niya wapi then???...kama niya wazungu "pesa" ni English????...
Kawaulize wafanya biashara wenu naona unapinga ukweli😀😀😀😀😀Mnapenda kuropkwa eti Tanzania inalisha kenya...leteni data ya TRA hapa tuone vile mnalisha wakenya
Hiyo ni story ilipambishwa na baadhi ya viongoz wasiomtakia mema Rais Sema nyie Kenya huu mchezo hamkuujua... Au niwaulize ni sehem ngap kulikua na hiyo shortage afu y hiyo Habari ikapotea ghafla... Muwe mnajiulza nyie tz njaa ni kitu hakiwezekan
Kibera boypovuu
Baa la njaa: Wakazi wa Hombolo - Dodoma washindia ubuyuHiyo ni story ilipambishwa na baadhi ya viongoz wasiomtakia mema Rais Sema nyie Kenya huu mchezo hamkuujua... Au niwaulize ni sehem ngap kulikua na hiyo shortage afu y hiyo Habari ikapotea ghafla... Muwe mnajiulza nyie tz njaa ni kitu hakiwezekan
Kalagabhaho.... [emoji23] [emoji23]
Tanzania: 78% of People Affected By Food Shortages - StudyKalagabhaho.... [emoji23] [emoji23]