Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tuna kadhaa kati ya 27 floors na 28 floors. Hii list sio kamili maana kuna zingine nitasahau kuweka.

1. Teleposta towers 27 floors.
2. CBK towers 27 floors.
3. KICC 28 floors
4. GTC residential tower 28 floors
5. Social security house 28 floors

Halafu above 30 floors ni 6 maana sikuwa nimehesabu prism. Above 30 floors. Ambazo zimekamilika au zime top-out
1. Britam towers 31 floors
2. UAP tower 33 floors
3. Prism towers 34 floors
4. GTC Marriot hotel 35 floors (topped out).
5. Times tower 38 floors.
6. GTC tower office block 43 floors (topped out)


Kwa hivyo usiseme kwamba tuna mbili above 30 bali tuna sita
 
Hehe kufika wapu,we huoni haka Ni kamtoto kwa Jkia,hii naipa moi international airport mombasa
Huyu hajui kuna upcoming Marriott hotel 35flr hapo GTC
ushasema upcoming meaning in the future! As for now that's the tallest hotel! and btw pia hata sisi kuna mpango wa tower mojawapo Mzizima towers ku-host hotel! so still tanzania will retain her title of tallest hotel. Hiyo JKIA unayojisifu nayo ndo ni hii outdated ngome ? 👇 🤣🤣








VS



Aisee JKIA inabidi kujitahidi naona hata runway mnayo moja! wakati sie JNIA tunazo mbili moja tokea Airwing!
 
Usijifanye hujui kusoma[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Rita Tower is not 30 floors.
Millennium tower is not 30 floors
1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
 
Mi nataka kujua hao wanaojenga mahotel na hizo estate wanadhaminiwa na serikali ya kenya?
Maana sijaona watu wenye uwezo wa kupanga?
 
1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
1. GTC office 43 floors
2. GTC hotel 37 floors
3. UAP 33 floors
4. Prism tower 33 floors
5. Britam tower 31 floors
6. Times Tower 33 floors
7. GTC residential I 33 floors
8. GTC residential II 33 floors
9. GTC residential III 31 floors
10. GTC residential IV 30 floors
11. CBK tower 30 floors.
 
Cbk na times tower izo flrs zinachange sana kulikoni?
 
Hapa ndipo wakenya mnatuzingua, ona data zenu zinavyopishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…