The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Amedizain au ameiba picha ya ulaya, huwezi ona Magufuli anatoa kazi kwa mkunya mpk dunia iishe, majengo yenu tu hamuwezi ku dizain ndo itakuwa majengo ya Tz?Nilisoma ripoti fulani kuwa haya majengo yanapata tabu sana kujazwa. Yaani hakuna watu wanaotaka kukodi nafasi humo ndani maana hawawezi kumudu kodi au lease
Wacha kusingizia wakimbizi. Nyinyi tu ndio muliamua kujaza dunia.Sisi tuna mpaka wakimbizi tumewapa uraia but bado rate yetu iko Poa
Psf tower ilidizainiwa na Mkenya. Wewe nenda kalilie chooni. Hata ukilia damu bado haitobadilisha ukweli kuwa PSF tower na bunge lenu la taifa zimedizainiwa na Mkenya.Amedizain au ameiba picha ya ulaya, huwezi ona Magufuli anatoa kazi kwa mkunya mpk dunia iishe, majengo yenu tu hamuwezi ku dizain ndo itakuwa majengo ya Tz?
Na tutazd kujazana kwa kadri tuwezavyo mana history inaonesha ukitaka kuwa real super power sharti muwe wengi.Wacha kusingizia wakimbizi. Nyinyi tu ndio muliamua kujaza dunia.
Aaah thubutu bana ww
Aaah thubutu bana ww
Icho kiflyover chenu bado sanaView attachment 1654532
Izo za avic apo?nazojua ni old mutual tower,Prism towerHata majumba yenye floor zaidi ya 30 tunazo nyingi kuwashinda sasa sijui unaringa nini.
Mnajenga sisi tunayo tayari inayofanya kazi nyie bado someni ##Tunajenga flyover ya zaidi ya kilomita kumi a.k.a Nairobi expressway
Unataka nikupatie list? Maana naweza kukupa list kama unataka.Izo za avic apo?nazojua ni old mutual tower,Prism tower
Weka iyo idadi hapaUnataka nikupatie list? Maana naweza kukupa list kama unataka.
1 Bwiru = 50 Karens na change inabaki 😅😅😅A section of Bwiru area In mwanza
Sasa ninyi mnakusanya nyingi nn mlichofanya? Tunapambana kuongeza kila mwaka hatushuki...Tena Asante kwa kuona serikal inafanya juhudiSerikali yenu instahili kucollect more taxes maana naona inatumia taxes yenu vizuri ila serikali yenyewe ipo lazy haitaki kucollect taxes ya kutosha. Mbona mnacollect nusu ya tax ambayo sisi tunacollect? Wacheni laziness malazy.
Tuna 5. Hii ni kulingana na search niliyofanya ya haraka haraka. Nyie mna ngapi? Halafu tukitoka kwenye floors tunaweza kuenda kwenye height (metres) ambayo tumewapiga bila huruma.Weka iyo idadi hapa
Yenu haijafikisha hata kilomita moja kwa urefu.Mnajenga sisi tunayo tayari inayofanya kazi nyie bado someni ##