Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inajengwa wapi? Kwa ndoto ama binguni?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tuonyeshe hata meter ambayo imejengwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakat dodoma inajengwa 110km [emoji1787][emoji1787][emoji1787] umechanganyikiwa wewe

 
Hapa mchina anataka kuliza mtu muda si mrefu yaani wanaripua kama ile sgr,hii ikifikisha miaka 30 itakuwa dhoofu na wao washapiga mkwanja wao
Halafu umegundua kama kijengwacho ni tofauti na render!
😂😂Utakufa uiache hii ikiwa umesimama sawasawa,,ebu tuone hizo renders unaongelea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…