Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

porojo tu hii...kwa hiyo mle ndani kulikuwa na wakora wangapi siku ile kama si watatu au wanne?.
 
Unavyoipigania Mombasa. Kwanza ulemji umejaa Mashoga(gays) Mombasa is very well known in East Africa as a leading city in gay issues. Mji gani ukienda kustarehe unatongozwa na mwanaume mwenzako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona hawatui nairobi iweje watue direct to dar
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mazoea yatabaki historia
 
Kenye nakupendea kwa vitu za kutumia akili unakuaga njee kila siku... Hizi ni ranking za designs Kali na zote zina mnara...nakuhurumia sana juu hakuna siku unawin
So kwanzia leo status ya britam ni sawa na eiffel
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usiende nje ya mada kumbuka na hujajibu swali langu
Usihamaki mzee wa iphone 7 πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Punguza hasira
Umenitolea mfano wa eiffel sasa swali je status ya britam ni sawa na eiffel?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…