Mbona tayari imebandikwa maposta kwene Pilar zake? Inaonekana kama ya zamani Sana kiukweli yetu imezidi yenu kwa uzHii ni over 1km,,pale umoja Nairobi
View attachment 1646314
Juu imejaa uchafu wenzetu hawajui kutunza vitu😂😂😂😂
Here
Unaumwa wewe, nani LDC?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mnapiga domo hapa tu as if hamna slums. Tukilinganisha idadi ya urban population ya KE na TZ utayaona mambo wazi. kwamba idadi zaidi hapo kwenu ya urban population inaishi kwa slums.
Takwimu na utafiti wa kimataifa zinasema LDC wana slums zaidi ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1646211
Huo mtaa umechemka kama sehemu flan hapa mjn sipataji [emoji16][emoji16]Nairobi roads.View attachment 1646337
Hapa makiniModification of Thika road.View attachment 1646327View attachment 1646335
Huo mtaa umechemka kama sehemu flan hapa mjn sipataji [emoji16][emoji16]
Nimeshapitia hapa karibu na gsu hq iko poaModification of Thika road.View attachment 1646327View attachment 1646335
kawaida yao hawa wahuniHawa jamaa kwa kupindua matokeo no hatari.yaani hi ni videobya JWTZ wao wanasema yao.
Wakati TZ kombati inajulikana nimeenda mpaka mwisho namuona mkufunzi ni JWTZ.
wao wanasema jeshi la kenya ,jeshi ambalo hawana kombati uniform kama hizi.
Angalia video mpaka mwishi
naona chini tope!Hii ni over 1km,,pale umoja Nairobi
View attachment 1646314
nmewavulia kofia asee....Hawa jamaa kwa kupindua matokeo no hatari.yaani hi ni videobya JWTZ wao wanasema yao.
Wakati TZ kombati inajulikana nimeenda mpaka mwisho namuona mkufunzi ni JWTZ.
wao wanasema jeshi la kenya ,jeshi ambalo hawana kombati uniform kama hizi.
Angalia video mpaka mwishi
Hapana ishakuwa hapo tangu 2013
Hii ni over 1km,,pale umoja Nairobi
View attachment 1646314
Hapo haikuwa imekamilika kijengwanaona chini tope!
Kwani outer ring haijapitia area inaitwa umoja?[emoji23][emoji23] acha uongo wew.. hio ni outer ring..
mwenye uwezo acheck hii thread.. picha imepostiwa 2017
View attachment 1646369View attachment 1646370View attachment 1646371
[emoji23][emoji23] acha uongo wew.. hio ni outer ring..
mwenye uwezo acheck hii thread.. picha imepostiwa 2017
View attachment 1646369View attachment 1646370View attachment 1646371
Kwani outer ring haijapitia area inaitwa umoja?