Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia Kisumu has two footbridges. Wewe hujui hata kuwa footbridge and pedestrian bridge ni kitu kimoja[emoji1787][emoji23]
Ulitaka uletewe pedestrian path! Ukaletewa footbridge ukaanza kubwabwaja [emoji382][emoji382][emoji382]watu wataona nani mjinga zaid yako [emoji33]
 
Ni kusoma ndio hujui ama? Ni wapi nimesema pedestrian bridge and footbridge ni vitu viwili tofauti. [emoji23]
 
hapa sielewi vizuri ndege nne baada ya zile tano (moja ya mizigo) au hizi nne ni ndani ya zile tano? Inabidi wafafanue vizuri!
Yani tunadai ndege 3 amabayo moja inaingia mwezi huu na mbili zinaingia mwakani airbus A320 alaf kuna ndege nne mpya wame order tayar na advance payment tayar
 
Ile iwe three level mzee lazma iwe na ngazi mbili kwenda juu hakuna haja ya kuforce [emoji1787][emoji1787]
Wewe naye ni mjinga kuliko wote hapa. Wapi imeandikwa lazima iwe na ngazi mbili kuenda juu?[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hivyo this interchange in Kolkata Indonesia sio three level interchange?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

 
Hii Pangani inatesa watu akili kweli. The first and I repeat, the first three level interchange in East and Central Africa.
 
Waache hata wakirudia hawafiki 16. Kwaiyo we waombe waendelee kushusha mizigo japo naona wanarudia ila uhakikia hawafiki 16
Mbona u arudia hahahh mpka sasa mko na 4 tu...tena vitu vya level ya malawi
 
Yani tunadai ndege 3 amabayo moja inaingia mwezi huu na mbili zinaingia mwakani airbus A320 alaf kuna ndege nne mpya wame order tayar na advance payment tayar
basi wamepunguza idadi maana bajeti ya 2020-2021 walisema wananunua ndege tano nne abiria na moja ya mizigo!
 
basi wamepunguza idadi maana bajeti ya 2020-2021 walisema wananunua ndege tano nne abiria na moja ya mizigo!
Sijui mimi ndo sikuelewa au nimesahau sio kwamba izo ndege 5 zilikua kwa miaka 5 ijayo??? Kwaiyo labda hapo ndio mwanzo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…