kabisaKweli ni kuwaenjoy tu
Ukiachana na majengo ya idara na parastatals tofauti za serikali kutaanza muda wowote kuanzia sasa ujenzi rasmi wa maghorofa yenye zaidi ya 10 floors, majengo zaidi ya 25 ya wizara zote huko government city
Yaani wakae watulie sababu Tanzania sio ya kupitwa na Kenya kwenye chochote zaidi ya slums na njaa
hapana siyo mimi huyo.....[emoji25]We naona una nyodo sana..
wapo vizuri sana kupitia hiko kitengo tashtiti..Na ukihesabu hapa unapata ngap[emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 1641854
[emoji1787][emoji1787] umeuwaNa ukihesabu hapa unapata ngap[emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 1641854
Akuna sita hapo ...iyo chuma ni nane...ww unapima kwa ayo mapipa ya barabarani....ngoja wa mark linesBarabara ya six lanes ndio umeandikia insha ya 200 words?[emoji23][emoji23][emoji23]
Cluster moja matata[emoji91][emoji91][emoji91]
Vp nisave hii post yako au[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Barabara ya six lanes ndio umeandikia insha ya 200 words?[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeee nililiona hilo ila nkawa nashindwa kusema[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mi'Plate Number yenu ya magari ni Mibaya kixnge
mmekata pumzi naona asaiv n mwendo wa mi renda na mapichapicha ya viwanja [emoji23][emoji23][emoji23]The biggest of kind in EA
East Africa Kidney institute
View attachment 1641989
View attachment 1642001
The complex intends to be a pole of excellence especially in the field of research related to the biomedical sciences involved. The building will host, in addition to teaching areas, university and congressional destinations, hospital departments with very high medical technology. There will be a dialysis department with 45 beds, a critical area of 20 beds, an operating block and a diagnostic area for the latest generation, as well as ambulatory, laboratory and support services. In addition to these spaces, two levels dedicated to hospitality and accommodate, in rooms with different cuts, a total of 160 internal patients.
Kama sie tulifeli nyie mlifeli mara nne yake na ndo maana tukapata takataka kama vile mathare,korogocho,kiambuiu,dandora,mukuru kayaba,mukuru kwa njega,fuata nyato,huruma,bangladesh na kaka yao kiberaA weeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlifeli kupangilia jiji lenu bana
We unaonatu render kazi inaendele kwa kasi soon utajua hujuimmekata pumzi naona asaiv n mwendo wa mi renda na mapichapicha ya viwanja [emoji23][emoji23][emoji23]
Asisahau ni apo mwezi wa tatu ...wanazindua hio high wayVp nisave hii post yako au[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee inapaswa tujivunie ESTIM cz wako vzr sn, hii road ikiisha ndo watajua hawajui, Thika road tupa kule [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Asisahau ni apo mwezi wa tatu ...wanazindua hio high way
Njia za kutolea na kuingilia hua hazihesabiki kwenye highway lanes punguza ushamba 😅😅😅 ndio maana zinaitwa njia za kuingilia na kutoleaHizo zenye umeacha hapo kando nazo zinaitwaje?[emoji1787][emoji1787]
mmekata pumzi naona asaiv n mwendo wa mi renda na mapichapicha ya viwanja [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 pumzi imeishaThe biggest of kind in EA
East Africa Kidney institute
View attachment 1641989
View attachment 1642001
The complex intends to be a pole of excellence especially in the field of research related to the biomedical sciences involved. The building will host, in addition to teaching areas, university and congressional destinations, hospital departments with very high medical technology. There will be a dialysis department with 45 beds, a critical area of 20 beds, an operating block and a diagnostic area for the latest generation, as well as ambulatory, laboratory and support services. In addition to these spaces, two levels dedicated to hospitality and accommodate, in rooms with different cuts, a total of 160 internal patients.
Asante kwa render 🤣🤣🤣🤣Next year big project,, #overpass after overpass
Kasi gani za render au 🤣🤣🤣🤣 kwani pinnacle muliitaje na ile montaveWe unaonatu render kazi inaendele kwa kasi soon utajua hujui