Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu tukifika 25,000km of paved roads watauliza tumefika huko Aje[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]. So far 1,500km of roads have been paved in 2020 and others are still underway.



Kwani umesahau Kenya ilijengwa na wazungu? Hata mashamba na nyumba zote zinamilikiwa na wazungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
The desperation here is on another level!
 
Bwagamoyo port mlianzisha lini?
Tulizuia mradi kutokana na masharti ya mwekezaji mpaka pale masharti yatakapokaa sawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na mradi unajulikana ulismamishwa na magufuli
 
Alafu tukifika 25,000km of paved roads watauliza tumefika huko Aje[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]. So far 1,500km of roads have been paved in 2020 and others are still underway.



Kwa kudanganya ndio mutafika labda πŸ˜…πŸ˜… manake nguvu muliobakia nayo ni kidanganya tu hakuna kingine
 
Kwani umesahau Kenya ilijengwa na wazungu? Hata mashamba na nyumba zote zinamilikiwa na wazungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
The desperation here is on another level!
Rais mzima bangi zimemjaa anadanganya km za lami πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kama sio laana nini hio
 
Upende usipende by 2022 tutafika 25,000 km of paved roads[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Rais mzima anadanganya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… landa za ndotoni endeea kuziota mzee wa tutakopa mpaka 150%
 
Karibu investors πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…