Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Hiace zinakaribia miaka 10 sasa aziingi city centerAfadhali hizo zinasafirisha binadamu. Hizi hapa chini sinafaririsha nini? Sokwe? View attachment 1638223View attachment 1638224View attachment 1638225View attachment 1638226
embu tutajie slum2 znazopatkana tanzania just 2 tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa huamini kuwa kuna slums Tanzania?
View attachment 1638201
Your source of information?
Swali, inawezekanaje binadamu wa kawaida kuishi katika yale mabanda ya Kibera, bila vyoo, maji au hata hewa ya Oxygen?[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali hayo mabanda covers only 1.5 square kilometers of Nairobi land. You can't compare with the infamous dream houses of Dar that covers 2/3 of the city.
City center ndio haziingii ila zipo Tanzania?Hiace zinakaribia miaka 10 sasa aziingi city center
embu tutajie slum2 znazopatkana tanzania just 2 tuu
Picha ya pili, ni sehemu gani Dar wanatumia hizo vipanya? Halafu Kingine vodacom walishabadilisha rangi na logo zaidi ya miaka kumi iliyopita sasa hivi wanatumia rangi nyekundu.Afadhali hizo zinasafirisha binadamu. Hizi hapa chini sinafaririsha nini? Sokwe? View attachment 1638223View attachment 1638224View attachment 1638225View attachment 1638226
Kwa hivyo wanapumua ammonia? Na nyinyi mnapumua nini ndani ya zile midreamhouses zenu?Swali, inawezekanaje binadamu wa kawaida kuishi katika yale mabanda ya Kibera, bila vyoo, maji au hata hewa ya Oxygen?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ushamba huezipata Kenya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiace zinakaribia miaka 10 sasa aziingi city center
Nje ya mji huko,nyie zinapiga route ndani cbd pa1 na yale malori ya mchanga yaliveshwa body ya busCity center ndio haziingii ila zipo Tanzania?
Hatushindani na Dar. We are here to entertain you. Nairobi is miles ahead kushindana na Dar. Hata huu uzi ilianzishwa na mtanzaniaPicha ya pili, ni sehemu gani Dar wanatumia hizo vipanya? Halafu Kingine vodacom walishabadilisha rangi na logo zaidi ya miaka kumi iliyopita sasa hivi wanatumia rangi nyekundu.
Picha ya tatu, hiyo logo ya ACB bank mbona nayo ilibadilishwa...hiyo picha ni ya mwaka gani?
Picha ya nne, ni Temeke sehemu gani wanapanda hizo vipanya sasa hivi?
Kazi ni kuokota okota picha mitandaoni ili mshindane na Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hivyo huko nje ya mji hazitumiwi na watanzania? Zinatumiwa na wakenya?! 😂 😂Nje ya mji huko,nyie zinapiga route ndani cbd pa1 na yale malori ya mchanga yaliveshwa body ya bus
naona umevimbiwa githeri wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dar es salaam yote ni slum, ama hajui hiyo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nipe connection ya Magix Enga nikupe jibu,mtoto mashalah,yan kwa ajili yake hata huko kibera nitalala tu hata kwa 1 nightkwa hivyo huko nje ya mji hazitumiwi na watanzania? Zinatumiwa na wakenya?! 😂 😂
Uzi unasema hiviHatushindani na Dar. We are here to entertain you. Nairobi is miles ahead kushindana na Dar. Hata huu uzi ilianzishwa na mtanzania
Huenda hali ni mbaya kibera, na hakuna anayekataa ila kibera is only 2.5 square kilometers. Can you compare that size with the dream houses of Dar that cover 2/3 of the city? How do you even start comparing the two?Hivi yale mabanda pale Kibera na Korogojo unaweza kusema wanaishi juu ya miti au maeinguni?. Yale mabanda hata nguruwe wa Tanzania hawezi kulala, hali ni mbaya sana.
mnatakiwa muingie kwe maajabu ya dunia asee mkuojuuu mtabakia kileleni 😁😁😁 2.5 square km kwa watu 2.8mln si mchezo mazeeHuenda hali ni mbaya kibera, na hakuna anayekataa ila kibera is only 2.5 square kilometers. Can you compare that size with the dream houses of Dar that cover 2/3 of the city? How do you even start comparing the two? View attachment 1638242View attachment 1638244View attachment 1638245View attachment 1638246View attachment 1638247View attachment 1638249View attachment 1638250
Noma sana,,,Hatarii🙄😳Huenda hali ni mbaya kibera, na hakuna anayekataa ila kibera is only 2.5 square kilometers. Can you compare that size with the dream houses of Dar that cover 2/3 of the city? How do you even start comparing the two? View attachment 1638242View attachment 1638244View attachment 1638245View attachment 1638246View attachment 1638247View attachment 1638249View attachment 1638250