Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

someni hii barua

jamaa amekataa kuingiliwa na international community

nahis kuna kamchezo ameusoma.. hasa kuhusiana na rasilimali za nchi yake
 
Jana kuna mama mmoja toka mombasa alikua anasema 1kg ya nyama kenya ni 500 . Nilikua nashang'aa mbona hela ya kenya kwenye purchasing power haina kitu kushinda ya Tanzania? 500 ya kenya bongo unapata nyama 1kg na mchele 1kg na chenji inabaki
 
Kwani ng'ombe za Mombasa wana nyama ya Gold🀣,hapa Nairobi 1kg ni ksh 380
 
Nilisema mm tng jana zile reports zimewauma na hamtawaona humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…