Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kulitambua hilo😀😀😀😀😀
Tribalism ndio sumu mlionayo kenya inamaana tunaongea uongo?????? Na ntakutafuta baada ya uchaguzi nikuoneshe how tribalism inavowaua
 
Amenyoosha nchi, watu walijisahau kabisa. .tungesubiri sana kutoka kwenye ldc kama tungepata kiongozi wa hovyo msimu huu, lakini naona dalili zote za kusogea vizuri...siajabu kabla ya 2025 tukawa tumeshatoka ldc
 
huku tunazindua tu...na hivi mwakani Bwawa la umeme katika Massive Rufiji and Kilombero river litaanza kujengwa 2100 MW...ukiongeza na gas kwa kumaliza Kinyerezi yote hadi Phase four...mbna treni itatambaa hadi mwanza, kigoma na Rwanda bila shida
 
VISION YA UMEME TANZANIA 2025 NI 10000MW
 
meanwhile..[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

hapa kazi tu...kazi juu ya kazi.hatuna mda wa kwenda US au Europe kuchukua selfie na wazungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…