Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo huyaelewi haya magonjwa laiti kama kipindi kile magu ndo angekuwa raisi ukimwi usingeingia bongo,ona anavyoushughulikia beberu kisayansi,na wapinzani wanajiua wenyewe wala usimsingizie pombe
 
Yale aliyokuwa anasema Geza Ulole yameshaanza kutimia.economic sanction imeshaanza kutoka EU.kuna watu walikuwa wanambeza sana.ila matokeo ya hii economic sanction tutaumia sisi wananchi na sio viongozi.itakuja kuwa kama ya Zimbabwe mtu unaenda na furushi la pesa sokoni
 
Kwa hiyo hiyo picha ndo sanction?
 
Kwa hiyo hiyo picha ndo sanction?
Tunatishana tishana tu hapa walete hzo sanction bhn, mbn hawapeleki sanction America na madudu yametokea dunia nzima imeona? Mbn America hakuna democracy na dunia nzima inajua na hawapeleki sanction, Africa tukiendelea kuwasujudia Hawa wasenge tutaendelea kudumaa kila siku, mbn wameweka sanction zao kule Zimbabwe na maisha yanaendelea tu? Waweke hzo sanction zao wasenge hawa wanataka kutupangia maisha wkt this is a sovereign country.
 
JPM ashasema hiki ndo kipindi cha kufanya mambo yetu bila uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…