Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You sound hopeless.
So hyo render umepost ndo hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yn wakenya wana mradi mmoja tu ndo wanashindana na tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
You sound hopeless.
Yani nyie watu ni waongo sijapata ona, picha hz ambazo umeweka hapa unasema ni interchange alafu picha Hii hii huwa mnasema ni brt yn maendeleo ya tz yanawapa sleepless mby[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kijana ...hiyo picha sio nairobi.apo ni area ya kuanzia mikindani junction hadi changamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…