Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuliko njaa ya kula kinyesi[emoji24][emoji23][emoji23]
Aibu ni nyie kupeleka ombaomba Africa mzima hadi aibu
Kuna aibu zaidi ya hii ya kupewa misaada ya pombe ili kupunguza njaa!


A woman runs away with carton of Chinese beer donated by Chinese workers who visited the area with donations of food to hunger ravaged residents of Katikit in Tiaty in Baringo County.
 
Hii ninayotumia ni nyingine kabisa ile nishaachana nayo, cm Tanzania co ishu km Kenya wazee wa tecno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawasawa kijana wa Infinix. No wonder leo umechanganyikiwa
 
Huyo anamiliki Ak 47 pamoja na risasi zake, jichanganye na mifugo yake akumwage ubonge...

We hapo muone mshamba ila linapokuja swala la mali zake anakupoteza kw ramani
 
hahah sawa mjikute mmeingizwa kwenye mgogoro wa Egypt na Ethiopia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…