Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba hio ndio density
 
Zungukaaa weee siku ukipata concrete jungle ya level huiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mm nafunga acc jamii forum foreverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„

 
Jamaaa kahangaika wee kutafuta concrete jungle ya namna hii nairobi nzima alaf kajaribu na kutafuta mombasa kama atapata kumbe kadondokea mdomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Middle class residentials ziko wapi icho[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna jambo linaendelea pale Chang’ombe. View attachment 1624070
Hilo jambo linaenda parallel na lile jambo la pale uhasibu, tumeamua kubadilisha Dar kwa kasi ya mwanga, now zitakuwa zinajengwa mbili mbili cz uwezo tunao [emoji3][emoji3][emoji3]

Kuna watu wanahoji cement kupotea mitaani hawaoni hii kasi ya ujenzi au[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
So hapa sio mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti munashindana na mwanza wallah mpaka hurumaView attachment 1623889View attachment 1623890View attachment 1623891
Machungu mabaya, mwanza kw old town wala haitoboi[emoji3][emoji3]
Hzo ni ghorofa wenyewe wameweka paa juu kujituliza instead ya kupaacha wazi..we wachezea na tabia za machotara..

Narudia tena njoo nimekupa offer nikutembeze old town ukajionee hzo ghorofa zilizoekezwa paa juu[emoji3][emoji3]
 
Zuka hilo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ameamua kutapatapa na ile sehemu ya old town hajui km sai inatumika km kivutio cha utaliu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umekamata mtu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Aliekwambia ni section ndogo nani wakat uchumi wa mombasa uko pale [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchumi wa mombasa uko old town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Joto, mwanza haiwezi old town, ukitaka rudia rudia na hyo sehemu ambayo wenyewe wameweka paa juu ya ghorofa zao[emoji1787][emoji1787]
 
Hizi flyover 11 zikiisha tutakuwa na utitiri wa modern flyovers in Dar na baada ya hapo sitotaka kusikia habari za flyover za tofali mana wenzetu wanajivunia flyover za stone age walizojengewa na mkoloni mpk leo na hazifiki 5 lkn kelele zake ss[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwhyo unamaanisha tuko miaka 50 mbele yenu[emoji1787][emoji1787]
 
Uchumi wa mombasa uko old town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Joto, mwanza haiwezi old town, ukitaka rudia rudia na hyo sehemu ambayo wenyewe wameweka paa juu ya ghorofa zao[emoji1787][emoji1787]
Uehehhe baada nairobi kuhemea makalio sasa mumeleta ushuzi wa pwani kuja kusaidia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zuka hilo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ameamua kutapatapa na ile sehemu ya old town hajui km sai inatumika km kivutio cha utaliu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umekamata mtu[emoji122][emoji122][emoji122]
Mbona hamuleti hio sehemu nyingine ambayo iko nje ya hapa nashangaa munatoa mapovu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…