Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nalimiskia mkurugenzi wa jiji la arusha anasema ileendi mpya itakayo jengwa arusha ndo itakuwa Bora kuliko zote TZ sijui ipoje asee
Mwanza inajenga Stend Mbili. Hiyo iliyowekwa hapo ipi Wilaya ya Ilemelan nyingine ambayo ndio kubwa kuliko hiyo iko Nyegezi Mwanza nayo U/C Sambamba na Soko Kuu la Jiji la Mwanza
 
For now haha,we hujui ile development inaendelea hapo kwa Sasa,utashangaa Sana kuwa ya pili karibuni
Ivi kwanza ww unaijua mall ya pili Africa ina squire meter ngapi? Mpka unaropoka kama mnywa githeri?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…