Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,275
- 107,913
Trump anti-Magufuli! Ila Pennslyvannia ina over 1 million mail votes hazijahesabiwa bado! Still mshindi hajulikani even with Trump having 57% lead to Bidden's 43%. Be reminded many Democrats went for early voting in avoidance of Corona pandemic.doh.. hapa trump ana shinda kwa 290
View attachment 1619214
Wenzako walipasuliwa vichwa njoo uwajaribu, teka hoteli na kikundi chako alafu uone vile wata wa counter[emoji23][emoji23]Wavaa kobaz 3 tu waliwatoa jasho,yan ww unababaika na hizo picha
Sasa hapo unashtushwa na nn jamani, ni hzo machine gunsAngalia viti vya kweli...vikiwa zoezi...sio hao japo mnawafundisha kupiga kichwanView attachment 1618990View attachment 1618991
Trump hapo humshindidoh.. hapa trump ana shinda kwa 290
View attachment 1619214
Sasa mbona unanifokea😂😂😂Hata ikiwa loan ww ndio utalipa 😂😂😂
ama ulidanganywa na ccm Tanzanian infrastructure projects znakuwa funded na internal resources 😂😂😂😂
Sasa mbona unanifokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya mmeshaiba na 'mamilo'Mamilo wako, Akothee 🙃
Huyo ataulea ukoo wako wote[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 kanifokea bure tuumemuumiza kwa kumweleza ukweli[emoji23][emoji23][emoji23].
Heshimu Akothee, anaweza kulisha wewe pamoja na vizazi vyako vinne!Tako jeusi kama chungu.
Si hivyo. Napenda tu uhuni wa Arusha 😅Wakenya mmeshaiba na 'mamilo'
Tanzania Ina influence kubwa huko kwenu, yapo mengi kutoka Tanzania unayapenda sio swags za Arusha tu 😀Si hivyo. Napenda tu uhuni wa Arusha 😅
Swag ipi nyingine? Ebu nitajie.Tanzania Ina influence kubwa huko kwenu, yapo mengi kutoka Tanzania unayapenda sio swags za Arusha tu 😀
Swags za Arusha ni pamoja na Subaru fanatics, bike fanatics, dressing codes zao na mengine yanayopatikana huko kwa upekeeSwag ipi nyingine? Ebu nitajie.
Trump anti-Magufuli! Ila Pennslyvannia ina over 1 million mail votes hazijahesabiwa bado! Still mshindi hajulikani even with Trump having 57% lead to Bidden's 43%. Be reminded many Democrats went for early voting in avoidance of Corona pandemic.
Tako lina ukurutu.Heshimu Akothee, anaweza kulisha wewe pamoja na vizazi vyako vinne!
Ni Mwafrika, ulitaka kalio liwe la rangi ipi?