Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kingine tony sijajua elimu yake lakini ni mtu smart sana na bright pia kwenye ukweli anasema japo kunamuda anaonyesha ukenya wake ningependa watanzania na sisi tuwe hivyo na baadhi ya wakenya wabadilike kuna vitu tanzania tujifunze kupitia Kenya na kuna vitu kenya wajifunze kupitia tanzania
 
Nilipahatika kupita Kenya nikitokea Kongo via kampala to Nairobi to namanga kuna mambo nilijifunza Kenya nanitaeleza kidogo
 
kivipi? windpower and coal plant zimefikia wapi?
Naskia ni Nairobi nzima. Ila siko sure. Coal plant nadhani haitajengwa. Windpower ilianza kazi mwisho wa 2018. Kama unataka evidence sema nitaweka.
 
Safari yakutoka Kampala to Nairobi ilianza saa mbili mpaka saa sita kasoro tukaingia border ya malaba wazoefu wanasema tulichelewa kwaajili ya foleni tukafanikiwa kugonga nilikuwa kwenye basis ya falcon tukagonga passport kabla ya kugonga nitaelezea kwanza kisa cha siti na mkenya mmoja ambaye alikuwa ametoka kufunga mzigo kampala
 
Endelea na story
 
kwa nyie wakora wengi everything is possible!
Badala ya kungoja miaka miwili ili kupokea mpya naona ni afadhali tununue second hand (kama itapatikana) ili tuanze operation mapema. Halafu baada ya miaka 5 ndio tuagize mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…