kwann isiwe SGR ni kwann SGR mumeitelekeza machakani😂😂😂Mkuu mbona tutumie meli wakati tuna barabara fupi inayounganisha Kenya na Uganda? Heri hata ungesema tukarabati reli yetu ya MGR inayofika Kampala hlafu Uganda nao wakarabati upande wao.
LOL that's someone's backyard in Mwanza 😁😁Mwanza kimkoa haiwezi mombasa na pia vile vile ki urban area haiwezi..
Kalinganishaneni na vile vimiji vya uganda
Huyo ni mbunge Mteule atafanya lolote ili ashikilie nafasi hio. Hata anaweza kunywa matapiko ya mdosi wake ili ateuliwe tena.
This is good. Hapa sasa ndio mnapiga hatua. Sio domo domo, tunataka action kama hii. Nyie mnapenda domo sana. Hii action ndio iko sawa.Tanzania winnings
Everywhere everything 😀😀
mm nilikwambia hamutaamini macho yenu 😂😂😂😂😂Huyo ni mbunge Mteule atafanya lolote ili ashikilie nafasi hio. Hata anaweza kunywa matapiko ya mdosi wake ili ateuliwe tena.
ila maumivu unayo baada ya kuwapokonya 😂😂😂😂😂This is good. Hapa sasa ndio mnapiga hatua. Sio domo domo, tunataka action kama hii. Nyie mnapenda domo sana. Hii action ndio iko sawa.
Sasa umekubali ushelisheli wana 100% electrification rate? Au bado unakataa?mm nilikwambia hamutaamini macho yenu 😂😂😂😂😂
uahahahaha shelisheli wanayo rural areas????? au hujui maana ya ruralSasa umekubali ushelisheli wana 100% electrification rate? Au bado unakataa?
Ndio wanayo rural areas. Fanya research uone. Kila mtu ana umeme huko.uahahahaha shelisheli wanayo rural areas????? au hujui maana ya rural
Tunapiga domo? Huu moto hamuuwezi.This is good. Hapa sasa ndio mnapiga hatua. Sio domo domo, tunataka action kama hii. Nyie mnapenda domo sana. Hii action ndio iko sawa.
Hii lazima nije kupanda
Mwanza mkoa sioLOL that's someone's backyard in Mwanza [emoji16][emoji16]
Hako kakichochoro chenu chenye 3 feetMwanza mkoa sio