Hata aviation wakae mkao wakula maana kampuni yenyewe ndege za kulease na bado wanaendesha kwa hasara leo takriban miaka minne......na huku tanzanua tukiongeza direct flights with other companies huku air tanzania ikinyayuka kwa haraka😀😀😀😀😀Yani wakenya local aviation industry wako vizuri kutokana na shirika lao la Kenya airways kuwa active long time so lazima wawe vizuri ukiwaringanisha na cc. Cc tunawasubiri kwenye SGR of bullet train lazima tununiane hapa, nina amini hii thread haiwezi kufa.
Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]Hawakujua mambo yamebadilika now is 2017
Chakushangaza sasa wao ndio wananunua bidhaa kutoka tanzania, ulichosema ni sawa kama hawakuendelea wakat ule hawataendelea kamwe na uganda anakuja wakae tayari tayari.....
Ule muda wa kujiona superior umeisha na sasa ni kazi tu
Niligoogle kukuletea wewe ulieniambia ni google density ila ukweli ndugu hautabadilika...jibu niKuna screen shot umegoogle density na ukainsist....Leo ata ufanyaje umeprovia wasee wengi vile we ni mjinga
Viwanda asili 90 vya kenya viko nairobi lakin tanzania viwanda kila mkoa unasheheni viwanda tena bila upendeleo.....juzi kati walitaka kuringanisha zenj na lamu au diani hahhahaha walikubali mziki nikawaambia changanyeni na mombasa muletee hakuonekana mtu.......Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Utanasa wapi maneno mengi ya nn unashindwa kujitetea kuhusu urban city area hii kitu inakushinda kweli.......😀😀😀😀😀😀😀😀😀Good night all Kenyans and Tanzanians... Leo nmefurahia kunasa mjinga anajiita ichoboy
Hizo pic tafutia mkoa wake pia 😀😀😀😀Ok its 1590 kms
Anzeni nyie kwanza ili muone maajabu msije sema bongo ya 90s😀😀😀😀😀😀sawa.Tutembeleane kama majirani. ...mje Nairobi na sisi pia tuvisit Dar....sivyo?
Hebu nitajie izo bidhaa tafadhaliHawakujua mambo yamebadilika now is 2017
Chakushangaza sasa wao ndio wananunua bidhaa kutoka tanzania, ulichosema ni sawa kama hawakuendelea wakat ule hawataendelea kamwe na uganda anakuja wakae tayari tayari.....
Ule muda wa kujiona superior umeisha na sasa ni kazi tu
Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Over 70% chakula na matunda.......Hebu nitajie izo bidhaa tafadhali
Unajua unachokizungumzia???Over 70% chakula na matunda.......
Nguo kenya inanunua sana tanzania
Lpg gas hakuna mjadala
Flour
Vinywaji baridi
Mbolea etc
Tupe evidence hapa si kutumia emotionsOver 70% chakula na matunda.......
Nguo kenya inanunua sana tanzania
Lpg gas hakuna mjadala
Flour
Vinywaji baridi
Mbolea etc