Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio mv Victoria bwana usitutie gundu! Mv Victoria IPO na inafanya kazi.


Watu wanachanganya Sana. Mv bukoba ndo ilizama ( na so far hakuna Ajali kama hiyo Africa nzima RIP)
Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
 
aliekudanganya nani huyoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
bro acha ujinga basi just be serious mm mombasa hakuna kitu utanidanganya, mombasa ina port kubwa kwasababu iko baharini mbona kma huna akili vile

kwnye subrub mwenzio kakiri na kukimbia mbioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kwenye airport utatoa excuse gani?
 
Hiyo ilikuwa zamani.(1996) na imekuwa fundisho.


Sasa hiv meli zinalife boat zinazotosha kama mv Victoria
 
We babaikia wanaume tu, utalaliwa we bwege..
Kumbe yani mpka mnatumiana mijipicha tayri, sasa hapo uarabu umekujaje au mmoja analalia
Napenda mkunya akipanic km hv mana [emoji382][emoji382] inakuwa imegonga mfupa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbn unaongea mambo ya kitoto hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…