Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cku hz mnaiogopa sn Dar [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ poa bro tc but sorry kama nimeharibu siku yako plzπŸ™πŸ™πŸ™
Haukuaribu hataa! Leo umekosa jibu, maybe jioni utakua nazo πŸ˜‚πŸ˜‚., nice timeπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘Œ
 
Haukuaribu hataa! Leo umekosa jibu, maybe jioni utakua nazo πŸ˜‚πŸ˜‚., nice timeπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘asante bro ukipata suburb kutoka msa za kufikia mwanza let me know usiache hilo
 
deal with moshi first πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na ukitaka tuingie kwenye hotels moshi utakimbia weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Now we are talking, lakini umepost CBD brooo..... i am talking about residential real estate where people stay (yani makaazi), unless you guys live in the CBD. Hotels ndio unataka sawa........Moshi vs Naivasha (Hotels) πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ Hizo zingine sijui Morogoro....usizitaje kabisa please!!!!
 
halafu wakija hapa utasikia ooh tumeconnect umeme sehemu nyingi,,kumbe ni porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…