Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so leo wamekua wajinga au ????[emoji23][emoji23][emoji23] kwan tanzania ndio walioandika hio
Wewe jamaa hata huelewi nini kinacho endelea. Low iq. Show me where kenya ever surpassed Morocco . Your friend said Morocco just overtook us. Kenya has never been ahead of morroco. Obviously I have to explain that to your low Iq ujamaa brain .
 
Na hakika katika miji mikubwa mizuri top 10 EAC, kenya itaingia 3 wakati tz inaingia 5 au zaidi huku uganda na rwanda mmja mmja.

1.Dar es salaam
2.Nairobi
3.kigali
4.kampala
5.zanzibar
6.mombasa
7.mwanza
8.Arusha
9.Kisumu
10.Mbeya.
Delusional
 
Dar is a slumpolis everyone knows that
That is why they are obsessed with the 3 blue towers
Moshi is a market centre nothing else
Even Mbeya is a city I pity Tanzania
 
Hata ruiru itababaisha mwanza Sana
 
so hawa ni waongo au👇👇👇
 
Wabongo wanasifia interchange ya ubungo kila Siku wakati expressway inaendelea kujengwa hapa Nairobi na inazaidi ya three level interchange kama sita na bado tuko kimya utadhani hukuna kinachoendelea.
Expressway ni wachina bwana,ubungo interchange ni ya Tanzania republic...
 
Show me when kenya was ahead of morroco. Your low Iq friend wants to make it as if Morroco just overtook kenya, while we are catching up. Lakini watanzania ni wajinga.
Kwa hiyo morroco umewapita kiuchumi😃😃😂😂😂!!!...
Vitu vingine vyachekesha kwa kwelii
 
Iko China ama Kenya?.... Pumbavu....ccm low iq
Hata kama ipo kenya,ni sawa na wewe uwe unalipia kulala kwa room iliyojengwa ndani ya nyumba yako..ni mlevi tu ndo anaweza kufanya projects za hivyo


90% ya nairobi imejengwa na whites/chinese/hindi,while tz inajengwa na wa-tz...note the difference
 
Hata kama ipo kenya,ni sawa na wewe uwe unalipia kulala kwa room iliyojengwa ndani ya nyumba yako..ni mlevi tu ndo anaweza kufanya projects za hivyo


90% ya nairobi imejengwa na whites/chinese/hindi,while tz inajengwa na wa-tz...note the difference
Tanzania gani mmejenga nyinyi masikini?....daraja mbili flyover mbili na tower tatu ndio zinafanyamuone kama tunatoshana kimaendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…