Ni kweli mkuu,hii hapa,๐๐hili la kweli?
Ubungo interchange pia ni ya zamani?? Vijisababu hamkosangiPicha za juu umeleta za zamani sana yaani tip-top manzese kabla ya kuwekwa brt dah zamani sana,ngoja wenye picha wakuletee uone tip-top inavyoonekana sasa baada ya brt kujengwa
"Kwa pesa ya ndani " kantri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dona kantri
View attachment 1605682
Kweli kingereza ilikuja na meli, do you know the meaning os "stare"?tumerudi tena kwenye lockdown๐๐๐
Choo boy hataki kuona hii maneno.Kweli kingereza ilikuja na meli, do you know the meaning os "stare"?
Alafu usijifanye hujaona hii [emoji23] [emoji23]
View attachment 1605702
๐๐๐๐๐๐Choo boy hataki kuona hii maneno.
world bank ๐๐๐๐๐ so who is who ๐๐๐๐๐Kweli kingereza ilikuja na meli, do you know the meaning os "stare"?
Alafu usijifanye hujaona hii ๐ ๐
View attachment 1605702
sasa njoo kwneye debt to GDP ratio uone uozo sasa๐๐๐๐๐๐๐morocco alikuaga chini ya kenya, what happened?
Wewe ndio umesema?Westlands...the largest business district in AfricaView attachment 1605187View attachment 1605188
wenzetu wakwapi jamani ๐๐๐๐ eti wamepigana vita ukiwauliza vita gani watakwambia vita vya ukabila
Yani hawa jamaa ni maskini kuliko hadi Ethiopia daah
Since when was kenya ahead of morroco. Wacha upumbavu .morocco alikuaga chini ya kenya, what happened?