Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We fala kwa hiyo exit road inapaswa kuwa hivyo kwa vile si part of highway?

angalia hio sidewalk yao hapo kushoto (sijui ni sidewalk au mtaro [emoji23]) [emoji23][emoji23].. angalia mabus yao pia [emoji23][emoji23].. kule upande wa kulia hakuna sidewalk na watu wanapita
 
hata kama but huoni hakuna pedestrian au huo mtaro ndio pedestrian aisee nairobu imeoza trust me
Kwn pedestrian huekwa kw kila road, hyo barabara kwanza unatembea ukienda wapi boss..
We huoni hata watembeaji wanahesabiki, argument zngine bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…