Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaitwa Garrisa Liboi road hyo apo, yn hapo ndiyo wamei tarmac, hehehehehe hawa watu ni wahuni sn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602255
Soma Africa Check inavyowaumbua


The most recent figures published in the 2018 Economic Survey show that Kenya had 20,600 km of bitumen roads in 2017. This would mean the length of this type of paved roads has increased by 9,400 km.

In 2016, the agency had the tarmac road network at 14,500 km, suggesting 6,100 km of road was added in just one year. (Note: In the same year the statistics office also has a figure of 11,796 km of tarmac road, published in the 2017 Statistical Abstract.)
 
Hahahaha Africa Check ipo kuexpose fraudsters in government and scandals πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani imeaniaka uozo wenu wa kufake kilometres za lami hapo au English hujui? 🀣🀣🀣🀣🀣

Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
 
Angalia hata Afrika check wameshindwa kuwaelewa kabisa, angalia jinsi walivyomaliza kusema [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1602261
Hahahaha hao Africa Check wanadeal na scandals za ufisadi, udanganyifu na kupika data πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahiyo hata wao wameshtukia something fishy kwenye Jubilee cooked data
 
2018 alone tulijenga 1,621km
 
Mmoja uko juu kaweka li article lake cjui kaliokota wp, me nakwambia haya mashirika ya kimataifa yawe makini na statistics from Kenya.
 
Nimeangalia economic survey 2018 na kitu nimepata ni kuwa in 2016-2017, they only built 1,500km of paved roads. Sasa hizo 6,000km hao ndio wanajua penye wameitoa.
 
Aisee leo umewafundisha kitu hawa wakunya kwmb wanaongopewa sn na serikali yao ila yenyewe hayajastuka, serikali ya kenya ni serikali ya kihuni mno sijawahi kuona, mm nilikuwa nailaumu serikali iliyopita kumbe ilikuwa afadhali kuliko hii ya jubilee.
 
Nimeangalia economic survey 2018 na kitu nimepata ni kuwa in 2016-2017, they only built 1,500km of paved roads. Sasa hizo 6,000km hao ndio wanajua penye wameitoa.
Katii [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimeangalia economic survey 2018 na kitu nimepata ni kuwa in 2016-2017, they only built 1,500km of paved roads. Sasa hizo 6,000km hao ndio wanajua penye wameitoa.
Ameshatii mkuu kwmb hakuna uwezekano wa kujenga 10k ndani ya only 2yrs[emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alafu anavyojikaanga kila mara anabadili badili maneno, Wakenya waongo sn, ss hawa watawasumbua wa Nigeria kule nairaland mana hawawajui ila co WaTz wa Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ameshatii mkuu kwmb hakuna uwezekano wa kujenga 10k ndani ya only 2yrs[emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpende mcheke, bado ukweli utabaki pale pale. Tanzania , 9,000km of paved roads, Kenya, 21,000km of paved roads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…