Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha nimekurahisishia kazi

Leta. Kilometres elfu 4 mlizijenga kuanzia 2017 tufunge mjadala. Mapema, au nalo ni mtihani? [emoji16][emoji16][emoji16]
We una wazimu, km 2018 tu tulijenga 1,600km..
Pinga nikupige nyundo[emoji848][emoji848][emoji848]
Nakusubiria uingie kumi na nane
 
Hawajaamini Kenya inaezakuwa na ndege kama hizo
Hii ni time hizo ndege zilifika Nairobi.
 
Hahahaha nimekurahisishia kazi

Leta. Kilometres elfu 4 mlizijenga kuanzia 2017 tufunge mjadala. Mapema, au nalo ni mtihani? [emoji16][emoji16][emoji16]
Tumia hzi nguvu kuleta 15000km kitoka bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Kisha katika hyo link hawakutaka kuwa wanafiki, mwisho wakakuwekea kabisa MINISTER SAYS ndio hata ukiwa na duku duku ujijazie[emoji23][emoji23]
Hawa watu ni wajinga sana, just because wamepeleka poles za stima in some villages wanadhani hiyo itaincrease acces to electricity. Hawajui kuwa access to electricity only increases when households are connected to the same power.
 
We una wazimu, km 2018 tu tulijenga 1,600km..
Pinga nikupige nyundo[emoji848][emoji848][emoji848]
Nakusubiria uingie kumi na nane
Hahahaha Nyundo ndio kile kitoilet paper cha Jubilee? 😁😁😁😁

Kile hata hakiui mbu

Patwa hapa na WB

 
Ni nchi gn ambayo jeshi lake halina helikopta? Tunachotaka u proove kwmb hapo ni kenya mana ww huwa unapost humu picha ambazo nyingine unaiba mradi tu ujifurahishe, haya proove kwmb hapo ni kenya.
Post zenu, najua Tanzania hawana pesa kununua vitu kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…