Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚ 2017 muna 11000km alaf ghfla 2019 21000km with economy of 4.6%πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… aisee kazi ipo

Endelea kutuonyesha data za 2009. Vitu kwa ground viko hiviπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
So mlitumia 50yrs kujenga 11k mkiwa na serikali imara zen mkatumia only 10yrs kujenga 11k zingine mkiwa na serikali ombaomba, duuhh hii ya leo kali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tafuta msemo wako wa kutokea huo tayari ni wa ichoboy
 
Ichoboy piga pochi manyoya ya huyu binti anakuzimikia mno.
Si ni kwel[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio kakomaa na huo msemo, we inapaswa ukomae angalau hata na ile post twitter kidogo ungelionekana unajitete
 
sina muda wakukushughulikia ikiwa huoni hata link hapo imekua attachedπŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Link ya 2009? Umeangalia hiyo article ukajua hata title yake imeandikwa aje? 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…