Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Total classified paved roads ni 17,000km and that`s also what`s in the screenshot. Haya sasa ongeza the 4,000km of unclassified but paved roads ukuwe an jumla ya 21,000km of paved roads.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 1600223
Hahahaha hata aibu hamna, miaka yote kujifanya mnajenga nchi kumbe mmenasa kwenye utopolo wa 11k 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

 
Unclassified kitu gani?

Hizo takataka nyingine hapo zimewekwa kwa titles za wamiliki kama kenha, kura, keria, county government, narrow blah blah blah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teargas...hilo povu linatosha kufulia kweli[emoji23]
 
Naongea umeingiwa na kigugumizi sasa..
Mbna unatapatapa sana, haya nimekuongezea 5000km ili ufute machozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Manake unaumia sana na wakati hayo maswali ukawaulize watu wenu hko walioiandaa..
Si ni serekali walioiandaa jamani
We huoni dada ako Teargass kakausha [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unclassified kitu gani?

Hizo takataka nyingine hapo zimewekwa kwa titles za wamiliki kama kenha, kura, keria, county government, narrow blah blah blah 🀣🀣🀣🀣🀣
Naona unakubali kimoyomoyo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Total classified paved roads ni 17,000km and that`s also what`s in the screenshot. Haya sasa ongeza the 4,000km of unclassified but paved roads ukuwe an jumla ya 21,000km of paved roads.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 1600223
Nimejumlisha zote nimepata 11k 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huyo huwa hana muda wa kuelewa huwa anajibu tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kujipumbaza raha kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshaachana nalo lile pambio la kwnn km zinapungua...ama ni [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…