Tatizo lenu muwazembe huaga mkipata habari hamsoni na kuielewa kwanza...Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania
Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1600154View attachment 1600157
Tatizo lenu muwazembe huaga mkipata habari hamsoni na kuielewa kwanza...
Jamani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1600215
Kisha kuna watu wame like bana[emoji3][emoji3][emoji3]
Jibu lako [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Achana na link, wewe niambie kwenye hiyo shot umepost ni kwanini Km za lami zimepungua badala ya kuongezeka?
Leo naona mumekalia kuti kavuNon classified is a name given to forgery!
Hamkuwa mnajenga barabaraAchana na link, wewe niambie kwenye hiyo shot umepost ni kwanini Km za lami zimepungua badala ya kuongezeka?
Umempata kabisa, hizi ni numbers za classified pekee. Akiongeza 4,000km of unclassified paved roads anpata 21,000kmJibu lako [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1600218
Piti hku[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Nimeangalia hk kipeperushi ndo naona maboko yanazidi kuongezeka yn paved badala ziongezeke zinapungua alafu unpaved badala zipungue zinaongezeka, inawezekana ardhi ni kiumbe hi kunakuwa na kufa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo lenu muwazembe huaga mkipata habari hamsoni na kuielewa kwanza...
Jamani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1600215
Kisha kuna watu wame like bana[emoji3][emoji3][emoji3]
Angalia total paved ni kilometres 17k 🤣🤣🤣🤣Jibu lako [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1600218
Tanzania kila mtu ni fala 🤣 🤣 🤣Tatizo lenu muwazembe huaga mkipata habari hamsoni na kuielewa kwanza...
Jamani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1600215
Kisha kuna watu wame like bana[emoji3][emoji3][emoji3]
Ok ngj nikukazie japo najua utakuwa hunielewi,Bwahahah!!local roads hzo hapo[emoji23][emoji23]
Sijui leo utatoka na wapi
Halafu total road network imeongezeka 2016 tu, then ikaanza kupungua kwa kiwango cha kutisha, sasa jamani mtandao wa barabara zetu umepelekwa wapi? Huyu bibie Teargass sijui ana shida gani leo kwa kweli..Nimeangalia hk kipeperushi ndo naona maboko yanazidi kuongezeka yn paved badala ziongezeke zinapungua alafu unpaved badala zipungue zinaongezeka, inawezekana ardhi ni kiumbe hi kunakuwa na kufa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani wanajaribu kila kitu lkn zii, sijui leo atafanyajeUmempata kabisa, hizi ni numbers za classified pekee. Akiongeza 4,000km of unclassified paved roads anpata 21,000km
Kula tena[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Angalia total paved ni kilometres 17k [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati kipeperushi cha shost yako kinasema ni 21k na data zote hizi zinatolewa na Kenya road board [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Propaganda ya Jubilee kuwahadaa mafala
Sindano imeingia maamaaeee hata kumkoqute mtu hataki tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tanzania kila mtu ni fala [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Total classified paved roads ni 17,000km and that`s also what`s in the screenshot. Haya sasa ongeza the 4,000km of unclassified but paved roads ukuwe an jumla ya 21,000km of paved roads.😂😂🤣👇Angalia total paved ni kilometres 17k 🤣🤣🤣🤣
Wakati kipeperushi cha shost yako kinasema ni 21k na data zote hizi zinatolewa na Kenya road board 🤣🤣🤣🤣🤣
Propaganda ya Jubilee kuwahadaa mafala
Unclassified kitu gani?Umempata kabisa, hizi ni numbers za classified pekee. Akiongeza 4,000km of unclassified paved roads anpata 21,000km
Sometimes komora makes me laugh like a kid [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kula tena[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]View attachment 1600222
Naongea umeingiwa na kigugumizi sasa..Ok ngj nikukazie japo najua utakuwa hunielewi,
Kwnn hapo kwenye hyo table ya local roads idadi ya paved roads 2016 ilikuwa 1450 zen mwaka 2017 ikashuka mpk 1118.
Pia hapo hapo kwenye hyo table inaonesha unpaved roads mwaka 2015 ilikuwa 107,621 but 2016 ika rise up to 116,151 why???
Kwa hiyo at 2017 tulikuwa na 8k km za paved.. kwa kuwa hatukujenga barabara bhas at 2019 tukabakiwa na km 7k za paved road sio?... Hivi barabara nazo ni kama icecream kwamba zinayeyuka ama ni nini?..... Hehehe tema hiyo taskima asee ushakuwa high kuruka hujielewiHamkuwa mnajenga barabara