Zipo page 400+ tuambie page ipi inaongelea barabara!?Link ndio hiyo, enda page 217 utapata data za paved roads in Kenya. Sasa post link yako
KNBS - Economic Survey 2020
Hiyo ni survey ya kiuchumi hakuna popote wameongelea barabara acha upumbavu.ichoboy01 nangoja link yako
Tony254[emoji121][emoji121]Lakini zinaitwa underpass c ndiyo.
hiii ndio source yako ulisoma ukatuliza ubongo wakoπππππLink ndio hiyo, enda page 217 utapata data za paved roads in Kenya. Sasa post link yako
KNBS - Economic Survey 2020
hajui even the meaning of unclassified roads hajui kabisa imagine and yuko hapa anajiita msomiππππHiyo ni survey ya kiuchumi hakuna popote wameongelea barabara acha upumbavu.
Nikikuita fala nimekosea? Hujaona hapo juu penye nimesema page number? Nenda page 2017 utapata data za paved roads in Kenya.Zipo page 400+ tuambie page ipi inaongelea barabara!?
Makofi, makofi. Si umeona hapo 21,000km? Hiyo ndio sasa nilikuwa naongelea.hiii ndio source yako ulisoma ukatuliza ubongo wakoπππππ
View attachment 1599823
hiii hapa πππππππichoboy01 nangoja link yako
Ondoa upumbavu wako hapa.Nikikuita fala nimekosea? Hujaona hapo juu penye nimesema page number? Nenda page 2017 utapata data za paved roads in Kenya.
21000 include unclassified ambayo sio paved road ww ni fala wa aina gani πππMakofi, makofi. Si umeona hapo 21,000km? Hiyo ndio sasa nilikuwa naongelea.
Wewe ndio hujui ndio maana ulienda google kutafuta meaning. Mimi nilisema how I understand it.hajui even the meaning of unclassified roads hajui kabisa imagine and yuko hapa anajiita msomiππππ
jamii forum imewaelimisha sana trust me sijawah kukutana na kilaza wa aina yake kama ww ππππWewe ndio hujui ndio maana ulienda google kutafuta meaning. Mimi nilisema how I understand it.
Tuko 2020 sio 2018 π π π π€£
By the way, you are one of the dumbest guys around here.jamii forum imewaelimisha sana trust me sijawah kukutana na kilaza wa aina yake kama ww ππππ
2020 hujui hata maana ya unclassified roads πππ basi kazi ipo sana kwa kenyattaTuko 2020 sio 2018 π π π π€£
Angalia hiii table vizuri alafu uniambie hiyo unclassified that is not paved in iko wapi?21000 include unclassified ambayo sio paved road ww ni fala wa aina gani πππ
Tanzania, 12,000km za lami.
Kenya, 21,000km za lami
Ok hebu ww tony niambie hizi pass za gari hapo chini zinaitwaje [emoji116][emoji116]View attachment 1599815
Hizo ni underpass lakini sio underpass tunnel. Tatizo nini ndugu? Mbona huelewi? Nyie hamna tunnel ambayo magari yanapita kwa chini.
Lakini zinaitwa underpass c ndiyo.
Cc: Teargass komora096 kikihboy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pengine