Hii ni Dar? 🤣 🤣 🤣 Battle ilikuwa kati ya Nairobi na Dar. Ama umeamua kuita usaidizi?Hebu anza kuleta picha bila kurudia tuone sasa. Twende kazi
Ngoja nianze kukutoa ushamba
1. This is Magufuli Bridge
View attachment 1599633View attachment 1599634View attachment 1599635
Mbona umeanza kukimbia tena sababu zinazidi kuwa nyingi hizi ni dalili za kushindwa.Hii ni Dar? 🤣 🤣 🤣 Battle ilikuwa kati ya Nairobi na Dar. Ama umeamua kuita usaidizi?
Mbona umeanza kukimbia tena sababu zinazidi kuwa nyingi hizi ni dalili za kushindwa.
Umesema Kenya ipo na network kubwa ya barabara sasa unaanza kulia kama mtoto
2. Mkapa Bridge
View attachment 1599642View attachment 1599643View attachment 1599644
Sio dalili za kushindwa, discussion ilikuwa ya barabara za Nairobi na Dar na wenzako wamekimbia wote. Ukitaka ya country nzima unaezasemaMbona umeanza kukimbia tena sababu zinazidi kuwa nyingi hizi ni dalili za kushindwa.
Umesema Kenya ipo na network kubwa ya barabara sasa unaanza kulia kama mtoto
2. Mkapa Bridge
View attachment 1599642View attachment 1599643View attachment 1599644
Me naona kwenye inshu ya bara bara tufanye ivi...Hii ni Dar? 🤣 🤣 🤣 Battle ilikuwa kati ya Nairobi na Dar. Ama umeamua kuita usaidizi?
[emoji16][emoji16][emoji16] ilibid niangalie picha tena[emoji16].. kweli ni taahira
Pitia hapa. Wenzako walijaribu hiyo wakakimbia.Me naona kwenye inshu ya bara bara tufanye ivi...
Kenya weka 1 na kui rename ili isijirudie
Na tanzania tunaweka na kui rename pia..
Afu mwisho tutapata mshindi
NOTE. Its all about QUALITY roads. Haya twendeeeeee
Wenzangu sio mimi, alafu hapa naongelea quality alafu pia mwaka 2020. So kama unajua utaluzi so. Kubali tu your too far behind.Pitia hapa. Wenzako walijaribu hiyo wakakimbia.
Tanzanians, show us your roads
Weka kitu finished bana sio construction..
Bahari linakuja kumeza hili jiji hivi karibuni.Kuna watu wanapiga picha balaa. View attachment 1599132View attachment 1599133
Unfortunately the Turkana and Samburu guys Who don't have water are the way who are going to pay the loan in case it turn to be another white elephant like SGR, Lamu port and Isiolo Airport
Huwa mnaenda kazini leo au mnabaki majumbani?
Huwa mnaenda kazini leo au mnabaki majumbani?
Umepanic tayari[emoji23][emoji23][emoji23]Wanatafuta ya kulinganisha saizi, najua atakuja na ile ya Mombasa ambayo haikalibii hata kdg hii, ss ngj aje nimtwange nyengine ambayo hawatokaa wawe nayo milele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo picha zako mpya mpya ongeza kwa hiyo thread. Ukipost ntakufuata huko.Wenzangu sio mimi, alafu hapa naongelea quality alafu pia mwaka 2020. So kama unajua utaluzi so. Kubali tu your too far behind.