Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


hii ni combination matata sana! watatotoa kitu maridhawaaa....! "Chinese first class"!!
 
Your have a squared stupidity. According to your Wikipedia definition, Is supermarket a mall? Is a whole sale a mall? Is an enclosed market a mall? Wewe hata ungenyamaza tu juu unajiaibisha bure.
"Your have a squared stupidity" duh kamwe sijawahi ona hii aina ya broken,halafu we jamaa ni kilaza sana as i have been telling you since day one
 
1.Tpa 157M
2.pspf I 153M
3.pspf II 153M
4.PPF Tower 150M
5.MNF TOWER 140M
6.RITA TOWER 117M
7.UHURU HEIGHT 127M
8.MZIZIMA TOWER I 140M
9.MZIZIMA TOWER II 130M
10.MIllenium Tower 107M
11.Umoja wa Vijana I 102M
12.Umoja wa vijana II 102M
13.NSSF Tower Ilala 105M
14.Morroco square I 100M
15.Sky Tower 100M
16.Viva Tower I 100M
17.Benjamini Mkapa tower 100m


Neck- Neck
 
Anakuambia anataka mtu ukija DSM uitafute barabara ya changarawe usiione, flyovers hatutakuwa na mpinzani Africa.
Ninayoisubiria kwa hamu ni ile ya kinondoni na ameitaja
 
Anakuambia anataka mtu ukija DSM uitafute barabara ya changarawe usiione, flyovers hatutakuwa na mpinzani Africa.
Ninayoisubiria kwa hamu ni ile ya kinondoni na ameitaja
Wait for Nairobi expressway instead
 
Anakuambia anataka mtu ukija DSM uitafute barabara ya changarawe usiione, flyovers hatutakuwa na mpinzani Africa.
Ninayoisubiria kwa hamu ni ile ya kinondoni na ameitaja
Mzee asikudanganye ndugu,yeye aseme ataiboresha Dar inatosha,kuna miji wanainterchange nyingi sana na mtandao mzuri sana wa barabara na bado wanazidi kujenga, kwa kifupi ushaelewa
 
Mzee asikudanganye ndugu,yeye aseme ataiboresha Dar inatosha,kuna miji wanainterchange nyingi sana na mtandao mzuri sana wa barabara na bado wanazidi kujenga, kwa kifupi ushaelewa
Hayo ni mahanjumati yangu tu sio yeye, cheki video mkuu
 
Bado mengine mfan lile la zip like
 
Hivi ndivyo CBD inavyostahili kufanana. Sio hio mpararo mlioweka hapa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…