Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Shoppers Plaza Mikocheni na Mbezi Beach:


Hamna malls Tanzania, mko na supermarkets and wholesale shops.
Kama hizi ambazo huko kwenu mnaita malls:

 
Najua huamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Ss siamini nn ulichosema kingine ushahidi umeweka mwengine, iko wapi KCB hapo kwenye tano bora btw benki yenu dtb hapo ndio inajikongoja cz WaTz wanatumia sana benki zao [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ss siamini nn ulichosema kingine ushahidi umeweka mwengine, iko wapi KCB hapo btw benki yenu dtb hapo ndio ya mwisho cz WaTz wanatumia sana benki zao [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Macho ndio huna, KCB ni number 8 ukiangalia hiyo box ya orange hapo kando.
 
Wewe jamaa unge kaa kimya hujui mambo ya Finance.

Unajua naana ya PPP na na inflation!?
The total profits of the top 11 banks in Tanzania are 20 billion Kenyan shillings while KCB profits alone are 25 billion Kenyan shillings.
 
Hili ndilo jibu lako, ss inapaswa utambue kwamba inabd mfunge kabisa branches [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Branches huwa zinafungwa kama faida zinapungua. Kwani wewe hujaona venye faida za KCB huko Tanzania zinaongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…