Before Thika road ipanuliwe it used to serve 85k, not 60k. Kama unapinga un anezascreenshot evidence ulete.Ndio ninamuambia huyo jamaa kwamba kabla ya Thika road kupanuliwa kulikua ni gari 60K pekee, wakati kabla ya Ubungo interchange na barabara ya Kibaha high way kupanunuliwa gari zilikua 68K, sasa tusubiri Kibaha high way na Ubungo interchange zifinguliwe rasmi ndio tulinganishe [emoji23][emoji23]
Dealing with bongolalas is one hell of a job. You have to spoon feed them some times
Nimeelewa kwa kisw kingine,Au nmekusoma kwa kisw kingineUlisema "umetupata" in your opening comment. Ulimaanisha nini hapo?
Sisi tunalinganisha hizi barabara kabla na baada ya kutengenezwa/kupanuliwa, utalinganishaje kati ya barabara iliyopanuliwa na ile ambayo haijatanuliwa.The funny thing is that you are comparing thika road of 2007 (way before it was even expanded) to Ubungo interchange of 2020. Thika road of 2018 handled 123,000 vehicles per day. Ubungo interchange of 2020 handles 68k vehicles per day. Can't you see there's something wrong with your brain and reasoning?
Mmeanza kutapa tapa na cartels sasa baada ya kuona hamna cha kusemaBaada ya kujibiwa kuhusu Cartels katika miradi yenu ukaona uhamishe goli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna kitu mtanzania hapendi kusikia hapa ndani ni neno "aerial view". It lays everything bare to the naked eye hadi hii battle inakosa meaning.😂 😂 😂 😂very true! Hawa ukitaka kuwaweza tell them to post drone view of Dar! utacheka sana! have watched several, no room for lying with angles of the same area, Dar developed area is small, less the 20% I bet, tafuta drone view you watch, hakuna battle hapa, it is deception(Dar) vs Nairobi, of which kwa mapicha utadhani Dar ndio sasa, watch ata drone view ya three level, a small area with funy surroundings! but picha utapata kibao different angles utadhani Europe, drone view utadhani ni Kabul or some plce in pakistan or Baghdad, they have such😂😂😂., mimi Dar ikifika level ya Nairobi North, East, West, South, including residentials nafunga account. Drone view, gives a clear picture. Still camera gives the photographer's cherry picked perspective.,
"A broken clock is correct twice a day" = Dar.
Huwa uko mature sana Tuusan. Wewe nadhani ni mzee mwenye heshima na busara zake. Huwa unachangia kwa heshima sana.Nimeelewa kwa kisw kingine,Au nmekusoma kwa kisw kingine
Kabla ya Ubungo interchange kujengwa gari 68K zilikua zinatumia hiyo barabara. Kabla ya Thika high way kupanuliwa gari 60K zilikua zinapita hiyo barabara per day [emoji23][emoji23][emoji23]Okay. I stand corrected. Hawa Malazy wanajaribu kulinganisha barabara zao konde na Thika road babkubwa. Watajua hawajui. Yaani Thika road kabla ifanyiwe expansion tayari ilikuwa inabeba magari mengi kushinda hii barabara yao mpya yenye wanaturingia? Hahaha kweli wako nyuma.
If wishes were horses... Why have you thrown the voice of reason out of the window and chosen to be stupid? Kama kwa wakati huu ubungo inaserve magari 68k, hizo 200k zitatoka wapi? Growth is gradual, it's not instant or spontaneousSisi tunalinganisha hizi barabara kabla na baada ya kutengenezwa/kupanuliwa, utalinganishaje kati ya barabara iliyopanuliwa na ile ambayo haijatanuliwa.
Ubungo interchange imekamilika jana, Kibaha high way which feeds Ubungo interchange is under Construction, subiri ikamilike ndio ulinganishe , ninakuhakikishia Kibaha high way and Ubungo interchange will save 200K cars per day.
Nilikuambia uniletee data inayosema ubungo served 68k vehicles per day kabla ya upanuzi ukashindwa. Endelea kupiga keleleKabla ya Ubungo interchange kujengwa gari 68K zilikua zinatumia hiyo barabara. Kabla ya Thika high way kupanuliwa gari 60K zilikua zinapita hiyo barabara per day [emoji23][emoji23][emoji23]
How a 50km road project built property millionairesTeargass ameweka evidence kuwa ilikuwa 85k sio 60k.
Huyo jamaa ni kama hajaelewa what he has read. From this statement, Thika road was meant to serve 60k vehicles per day before its expansion but instead ilikuwa inaserve more than that number.Okay. I stand corrected. Hawa Malazy wanajaribu kulinganisha barabara zao konde na Thika road babkubwa. Watajua hawajui. Yaani Thika road kabla ifanyiwe expansion tayari ilikuwa inabeba magari mengi kushinda hii barabara yao mpya yenye wanaturingia? Hahaha kweli wako nyuma.
Wewe ndio hujaelewa kitu hapo. The article clearly states that before expansion the road was handling more vehicles that it was supposed to handle.How a 50km road project built property millionaires
Muambieni huyu muandishi arekebishe, hii ndio sababu hatuamini data zenu, huwa mnachagua kile kinachowasifia, soma hili gazeti lenu linavyojichanganya
Huna akili wewe, sorry for that. Jana wakati mkurugenzi mkuu anakwenda kufungua hiyo interchange ndio amesema kawaida hapo junction zaidi ya gari 68K kwa siku zinapita, hiyo ni kabla ya kujengwa hiyo interchange, ambabo wastani wa waiting time kwenye traffic jam ili ni 2hrs, sasa hivi baada ya kufinguliwa hiyo interchange wastani wa waiting time katika traffic jam ni 3min, sasa subiri tuone ni gari ngapi kwa siku zitapita hapo.If wishes were horses... Why have you thrown the voice of reason out of the window and chosen to be stupid? Kama kwa wakati huu ubungo inaserve magari 68k, hizo 200k zitatoka wapi? Growth is gradual, it's not instant or spontaneous
Give me a link to that report nisome. That's what I have asking for all along but you are avoiding it like a plagueHuna akili wewe, sorry for that. Jana wakati mkurugenzi mkuu anakwenda kufungua hiyo interchange ndio amesema kawaida hapo junction zaidi ya gari 68K kwa siku zinapita, hiyo ni kabla ya kujengwa hiyo interchange, ambabo wastani wa waiting time kwenye traffic jam ili ni 2hrs, sasa hivi baada ya kufinguliwa hiyo interchange wastani wa waiting time katika traffic jam ni 3min, sasa subiri tuone ni gari ngapi kwa siku zitapita hapo.
Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana, hivi unajua kwanini serikali zinaamua kupanua barabara au kujenga flyovers?, ni ili kuziongezea uwezo hizo barabara kupitisha gari nyingi zaidi baada ya kugundua kwamba kuna gari nyingi kuliko uwezo wake, sasa wewe unashangaa nini wakisema "It was handling more vehicles that it was supposed to handle, hivi unatumia akili kweli wewe?Wewe ndio hujaelewa kitu hapo. The article clearly states that before expansion the road was handling more vehicles that it was supposed to handle.
Itachukua muda sio instant gari ziongezeke,Kwa sasa interchange imepunguza jam kwa zaidi ya 80% ,Kitakachongeza gari kwa speed ni uchumi kuendelea kukua wadau wanunue vyombo viingie barabarani ...Sijapingana na wewe lahashaHuna akili wewe, sorry for that. Jana wakati mkurugenzi mkuu anakwenda kufungua hiyo interchange ndio amesema kawaida hapo junction zaidi ya gari 68K kwa siku zinapita, hiyo ni kabla ya kujengwa hiyo interchange, ambabo wastani wa waiting time kwenye traffic jam ili ni 2hrs, sasa hivi baada ya kufinguliwa hiyo interchange wastani wa waiting time katika traffic jam ni 3min, sasa subiri tuone ni gari ngapi kwa siku zitapita hapo.
Wewe ndio hutumii akili cause you want to force something that is not there to be there. Haya sasa tuonyeshe penye imeandikwa kuwa Thika road was handling 60k before expansion.Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana, hivi unajua kwanini serikali zinaamua kupanua barabara au kujenga flyovers?, ni ili kuziongezea uwezo hizo barabara kupitisha gari nyingi zaidi baada ya kugundua kwamba kuna gari nyingi kuliko uwezo wake, sasa wewe unashangaa nini wakisema "It was handling more vehicles that it was supposed to handle, hivi unatumia akili kweli wewe?