President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Huu msumari kuuchomoa mtaimba haleluya.Dar such are very few, Nairobi expressway is loading, three level interchange zitakua kadhaa π π
more of Nairobi roads.., hatuna wivu na jirani hataa!
Huu msumari kuuchomoa mtaimba haleluya.
View attachment 1584543View attachment 1584544View attachment 1584545View attachment 1584546View attachment 1584547
Msumari usiochomolewa.Outside that kuna nyingine?? (roads)., bado sana kaka π πππ, ni vizuri kuota ndoto, zaweza timia, nani anajua.,
Huu moto ni mkali sana hakuna wa kuuzima. Tumechomeka hamuwezi kuchomoa
Moto huu huwezi kuuzima. Ndio umewashwa sasa.
Dar gorofa tatu ama nne za maana, na two road interchanges pekee! minus bridge na BRT Mombasa is your levelHuu moto ni mkali sana hakuna wa kuuzima. Tumechomeka hamuwezi kuchomoa View attachment 1584567View attachment 1584568View attachment 1584569View attachment 1584570
Huu ni msumari Wa moto. Unapigwa na kuzama mazima.
Umeishiwa vya kiweka!?Dar gorofa tatu ama nne za maana, na two road interchanges pekee! minus bridge na BRT Mombasa is your level
Moto huu huwezi kuuzima. Ndio umewashwa sasa.
View attachment 1584579View attachment 1584580View attachment 1584581View attachment 1584582
Jamaa unapenda Julia lia sana.View attachment 1584591
Dar only two interchanges, na gorofa tatu ama nne za maana π π ππ, hiyo Dar minus bridge na BRT size yake ni Mombasa., outside Dar which other towns can boast of flyovers/interchange???., Tz bana!ππππ
Jamaa unapenda Julia lia sana.
Sisi tunabandika msumari baada ya msumari.View attachment 1584611View attachment 1584613
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini Mombasa iwekwe na Mwanza, Tanga imepita Mombasa kwa kila kitu, tena hili Bomba la mafuta ndio litaizika Mombasa kaburini kabisa.Hii size yake Tanga
Wewe uko biased. Kwa hivyo kulingana na wewe dunia itairuhusu Egypt kubomb dam ya nchi nyingine lakini dunia hio hio itaikataza Ethiopia kutia sumu maji hayo? Huoni jinsi maoni yako yanakinzana? Egypt itaruhusiwa kufanyia nchi nyingine maovu ila Ethiopia itakatazwa??Tony unanichekesha sana, inaonekana hujapitia kwa undani "International politics and relations". Maji yote na vyanzo vyake ambavyo vinahusisha nchi zaidi ya moja yanalindwa na sheria za UN. Hawawezi kuyachafua au kuyaujumu kwa njia yoyote, Satellite zinafuatilia dunia nzima kuhakikisha kwamba hakuna sheria yoyote ya UN inayokiukwa, atakayekiuka ujue ameikosea dunia nzima lazima atapata adhabu.
thika nayo ni ushuzi mtupu πππ try to be serious kidogoUnapenda kujichocha sana na ukweli uko wazi, π ππ,
Mwanza ata Uchumi wa Thika na real estate inailemeaπππππ
Watch Thika hapaπ kisha compare.,
hahahhaa haya msikieni huyu πππ mm mombasa ww utanidanganya nn unaniambia juu ya hayo magofu ya old town hapaWacha ushenzi. Hamna city Afrika Mashariki yenye density kubwa ya majumba kushinda Mombasa. Kwa density namaanisha majumba mengi katika space kidogo. Umeshawahi kuitazama Mombasa kupitia satellite?
Pinga kwa kutumia data sio kwa hisia.hahahhaa haya msikieni huyu πππ mm mombasa ww utanidanganya nn unaniambia juu ya hayo magofu ya old town hapa