Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sio kazi yao ni kazi ya Tanzania airport authority kama ile source ya kenya uliotoa kenya airport authority ukipata data sahihi kutoka tanznaia airport authority ni tag nasubiria πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leo TCAA wamekuwa waongo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Leo TCAA wamekuwa waongo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
tafuta source stahiki kama ulivoleta source ya kenya airport authority πŸ˜‚πŸ˜‚ unqjipa matumaini kwenye hakuna bado munawaza hii tanzania ya 90s siku utapata data from tanzania airport authority nitag mm
 
dude could you please follow the conversation before jumping into conclusions..you guys are always on kenyan heels anyways asking where are bridges in nairobi like your own or gas mining plants like yours, and you don't find it relevant to make that comment until now?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




Hahahaha nikikumbuka vile vi vlogs vyao walivyokua wakijirecord kipindi huyu elephant wao anaanza kujitokeza naishia kucheka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Walikuwa wanajipa vijisafari uchwara vya kwenda kuogelea kwenye vidimbwi Mombasa wakati hiyo culture sio yao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yaani wakenya hawana utamaduni wa kusafiri kabisa ndani ya nchi yao ukilinganisha na watanzania

Ndio maana hushangaa jinsi Tanzania tulivyo na busses nyingi na abiria ni in thousands per day, wakenya ni ukabila umejaa kiasi kwamba hutoona mtu anaenda kwenye mkoa ambao hajazaliwa huko na kila mtu anaona Nairobi ndio kila kitu, tofauti na Tanzania ambapo mikoa yetu yote ina mega potentials na yote ipo hot ndio maana shughuli za uchumi zipo hot kila mkoa na usafiri upo hot kila mkoa.
 
your ego is huge buddy, did you read the the content of that link you sent? your denial has absolutely zero impact on the reality πŸ˜…
here's a brief copy paste
This CubeSat, named β€œ1KUNS-PF” was developed by a team from the University of Nairobi.
1KUNS-PF was developed as Kenya's first satellite, and the University of Nairobi will operate the CubeSat after its deployment from "Kibo".
 
Haya sasa rudi ulale, Tanzania domestic travelling Vs Kenya domestic travelling
Tanzania 2.9 million
Kenya 4.8 million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…