Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu hata mimi huwa najiuliza sana hili swali...mkuu wa Nchi inasemekana alionywa lkn bado akasaini tuu...hii inavuta picha kamili ya yale yasemwayo 'Rizii na powder uko Uchina'...
Ebu chukulia mfano kile kipengele kinachoipiga marufuku serikali kuhoji kinachofanyika kwenye ile bandari,Ina maana hata wakileta madawa ya kulevya,hakuna kuhoji, wakileta silaha za kuvhafua amani,hakuna kuhoji,alafu mwanaume na suti anasaini!hovyo Sana.
 

Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Magu kaja kutuonyesha njia sahihi naamini hata watakao mfuata wameona njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…