Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

*Meona pia watajenga smelter ya nickel

*pia burundi watakua wanauza madini yao kwe soko la madini kigoma

*reli ya sgr na meli 4 mbili kati ya izo ni mpya moja ya abiria na moja mizigo

*upanuzi wa kiwanja cha ndege, na ujenzi wa barabara utafanya mtu atoke rwanda au burundi had SA anateleza tuu...

its a nice move... yajayo yanafurahisha
 
Wakenya wanasema msemo wetu ni "tuta tuta tuki" ss mm nashangaa huo msemo mbn hauna mashiko mana mambo yanafanyika.

Na kwakweli Wakenya wa humu Jf wamejifunza mengi toka Tz na wanaona nguvu zao zote tng wapate uhuru tumelipa kwa miaka 5 na tumeongeza mambo kibao ambayo kwao bado ni ndoto.

Na msije mkadhani Wakenya wa humu hawawaambii wenzao wasio humu heheheheheeee ni mabalozi wazuri na salamu wanazifikisha vzr tu japo kwa uchungu [emoji3][emoji3]
 
uhuru yuko busy akikagua michezo ya majeshi ya KDF baada ya kukagua utengenezaji wa madawati!



 
hawaja koma naona wanatumia un chini ya ushawishi wa unsc na (uepo wao us) kuchafua tz hata WTC amina akishinda atafanya unyan'gau tuu

nataka niwakumbushe tena maana nliwah kuwaambia humu kwamba sie tumeamua KUMKIMBIZA MWIZI KIMYAKIMYA nahisi hawakunielewa.....
 
I dare questioning my self patriotism of J.Kikwete, yaani nashangaa huyu jamaa alisaini vp huu mkataba wa kijinga kiasi hiki.
 
ahsante mkuu, na after 3 years huwa inazaa kwa misimu? ndani ya mwaka inazaa mara ngapi? niliwahi kuskia mbegu aina ya Hass ndio inapendwa zaidi soko la nje, kuna mbegu nzuri zaidi ambayo labda inazaa mapema angalau 2 years?
 
Amina mbona kashashinda WTC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…