Hivi hii project is it still on?Kitu cha Ubungo hiki hapa, nimepiga sasa hivi.
View attachment 1573195
View attachment 1573196
View attachment 1573197
View attachment 1573198
View attachment 1573199
View attachment 1573200
View attachment 1573201
Hivi hii project is it still on?
Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Mbezi Luis, tunashindwa nn Ubungo?
Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Mbezi Luis, tunashindwa nn Ubungo?
Hiyo ardhi hawapewi wachina, nafikiri ni PPP projectHivi kwanini tuwape Wachina prime land like that? Hivi BRT wenyewe hawawezi kutafuta finances kujenga wenyewe shopping mall?
Nafikiri hapo Gezaulole atakuwa hapendi wachina na co km hataki private sectors, tatizo wachina nao wanayoyafanya kule Kenya imefanya mpk tuwaogope [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwan sector binafsi hawataki hizo strategic lands? nin sasa faida ya kuwa na sector binafsi ambayo unainyima strategic lands?
sio kitu serikali iangaike kufanya yenyewe, sector binafsi nayo ipo itafanya..
Mkuu hata cc pia tunaweza kuwa private investors tena inalipa sana tu mana pesa kwa asilimia kubwa inabaki ndani.Hizi mentality za kila kitu tufanye wenyewe hazitatufikisha popote. The world is beautiful with diversity.
Nahisi itakuwa hivyo ila contractor nafikiri ni mchina.Hiyo ardhi hawapewi wachina, nafikiri ni PPP project
https://www.ippmedia.com/en/business/over 500-book-space-chinese-proposed-250bn-ea-logistics-centreNahisi itakuwa hivyo ila contractor nafikiri ni mchina.
Nafikiri hapo Gezaulole atakuwa hapendi wachina na co km hataki private sectors, tatizo wachina nao wanayoyafanya kule Kenya imefanya mpk tuwaogope [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi hii project is it still on?
Naomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.Shikamoo JPM....Kwenye ilani imeandikwa 75Km from Kibaha to Chalinze kupigwa 8 Lanes
View attachment 1573621
Depot inaweza kuwa kokote hapo kati kati ya mji ubungo mabasi yawe yanajazana kwanini..mimi naona waweke depot Bunju au Mbagala huko pale ubungo traffic sana..acha mall ikae tuHujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Mbezi Luis, tunashindwa nn Ubungo?
Tutawanyoosha hawa Nyang'auNaomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.
Kama ulikuwepo vile..Naomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.
OK sawa....Naomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.
So whats the problem get exposure mzee, kuwepo pale itapunguza gharama za uendeshaji. Mimi napinga kumpa kampuni binafsi ile sehemu. BRT wanaweza kufanya wenyewe!Depot inaweza kuwa kokote hapo kati kati ya mji ubungo mabasi yawe yanajazana kwanini..mimi naona waweke depot Bunju au Mbagala huko pale ubungo traffic sana..acha mall ikae tu