Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ni moja ya sababu tunahitaji umeme wa kutosha hasa JNHPP
 
Hope tz use some of this money to fix dar huge informal settlements
Videos 8yrs old though

 
Wanapigaga kelele humu ila now wameshikwa pabaya sanaa hizi picha za mwaka jana wakati wachukua parachichi zetuu na mi isuzu ya hiyoo ila sahiv jino kwa jino tusafirisha wenyew kwenda njee.View attachment 1572990View attachment 1572991

mim naona Serikali tayar imeshagundua huu ujinga wanaofanya wakenya.. wananunua bidhaa zetu , wao wanaweka brand na kuuza nje na kusema zimetoka nchi kwao.. Magu alianza na madini, maparachichi na vingine .. ndo mana ameahidi kuleta ndege ya mizigo

ishu nyingine.. anazuia mafuta yasipite mombasa, anawavuruga kwenye SGR ya kwenda uganda, kawanyang’anya bomba la mafuta [emoji1]
 
Hujazungumzia mitambo na mizigo mingine itakayotumika kujenga Refinery na Pipeline vyote vitaaanza kupitia bandari ya Tanga na Dar badala ya Mombasa.
 
Kwelii maguu kajua jinsi ya kucheza na akili za hawa nyan'gau
 
Wanamchukia sana na cku ukitaka kujua Magu ni nani kenya ngj amalize muda wake Wakenya watafanya sherehe, unajua haya mambo anayoyafanya Magu yatakuja kulipa miaka 5 mbele ss WaTz wasio na idea ya uchumi wanaona Magu anazingua japo wengi wanamshangilia kutokana na miundombinu aliyojenga but wengi hawajui kuna mambo gn anafanya makubwa kuliko hata hyo miundombinu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli kabisa, wakenya kama kuna jambo wasilotaka kulisikia toka Tanzania ni kumuongezea muda Magufuli baada ya kumaliza kipindi chake cha uongozi, yaani tukifanikiwa kumshawishi na kumuongezea muda wakenya wengi watajinyonga [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…